kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Maisha Baada ya Kifo: Labda Wahindu wamepatia Safari ya Ajabu inayoendelea milele

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, siku ya kawaida kama nyingine. Hakuna ishara yoyote kwamba maisha yako yangekatika ghafla. Lakini ghafla—giza. Ajali mbaya ya gari. Wahudumu wa afya walijitahidi, walifanya kila waliloweza, lakini mwili wako ulikuwa umeharibika sana. Hakukuwa na matumaini ya...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mafanikio huwa karibu na kifo ya kianza kuja gafla

    Kuna mawaiza nilisikilizaga zamani ila sikumbuki ni nani?. Ya sheik mmoja fulani. Maelezo yake:Kulikuwa na maskini mmoja alikuwa jangwani kwa shida na kutafute kote na umaskini unaomzonga aliomba kufa,wakati yupo jangwani akakutana na mtu na kumwambia bora nife ila yule mtu alimwambia...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RUKWA: Mwalimu Mkuu na Wawili wawili watuhumiwa kumpiga Mwanafunzi kwa Waya na kusababisha kifo chake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Kagwa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard Mgeni, miaka 15. Waliokamatwa ni pamoja na Mkuu wa Shule ya Sekondari ST. Kagwa ambaye ni Zacharia...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Habyarimana na madai ya katiba mpya

    Unapoitazama nchi ya Rwanda leo huwezi kuamini kwamba kuna wakati ilitawaliwa na Wahutu tangu ilipopata uhuru mwaka 1962. Nchi hiyo iliyokuwa koloni la Ubeligiji ilipata uhuru wake na kukabidhi kwenye utawala wa kiraia chini ya Rais Gregoire Kayibanda aliyekuwa mwanamapinduzi kupitia vuguvugu...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi; Kifo cha Marijani Rajab

    Alizaliwa Machi, alikufa Machi na kuzikwa Machi. Kaburi la Marijani Rajabu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo ni miaka 30 kamili tangu afariki.`Pumzika kwa amani King rajab.
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wapi The Bold na wasimuliaji wengine bingwa? Makabrasha ya siri (classified files) ya uchunguzi kifo cha J.F Kennedy hatimae yameachiliwa

    Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya kuuwawa Raisi JF Kennedy. Hatimae zimeachiwa. Watu wengi walisubiria taarifa hizi wakiamini huenda...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje Selemani Msindi (afande sele) akaombewa kifo?

    Ilikuaje?? Mimi nilipitwa kidogo, ilikuaje mpaka sheikhe hapa akawa anapiga dua AFANDE SELE afe ? Na ilikuaje mpaka Leo AFANDE sele yupo anadunda tuu, dua iligonga mwamba au
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson: Kwa wema au kwa ubaya, tusimsahau Magufuli

    Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baada ya mafile ya Kifo cha JFK kuwekwa wazi kwa Umma, Israel ilishirikiana na CIA kumuua JFK

    March 18, 2025 ndio siku rasmi ambapo Documents zote za siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy ziliwekwa wazi. Hiyo ni baada ya takribani miaka 52 baaada ya kifo chake. Ikumbukwe John F. Kennedy aliuwawa November 22 Mwaka 1963. Mafile zaidi ya 2,000 yanayohusu kifo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndata (Polisi) SP Awadh Chiko Kifo chake ni cha Kawaida au ni vile vyetu tunavyoviita vya 'Kama Kawaida' ukijaa katika Mifumo ya Watu?

    Kuna moja hiyo Kali nimeisikia tena kutoka kwa 'Mandata' Wenzake wa Kijitonyama alikokuwa akiishi, ila ngoja niuchune.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  13. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

    Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu. na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mkapa ni lini? Mana huyu kwangu ndo alikuwa rais bora na siyo huyu

    Mkapa alianzisha vitu vingi kama 1. TRA .2. NSSF 3. Bodi ya mikopo Nk
  15. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

    17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara...
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Chamuriho nusura aukwae Umakamu baada ya kifo cha Shujaa

    1. Mara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna. 2. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya kule Jalalani
  17. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

    Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea. Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ; 1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma 2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
  19. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  20. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
Back
Top Bottom