"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari.
Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
Habari waungwana,
Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao.
(Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP).
Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa.
Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Habari za jioni ndugu na dada zangu
Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach
Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho.
Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana...
Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku...
Ukiwasikiliza vizuri Donald Trump na Benjamin Netanyahu, kuna mchezo unafanyika ili kuiahadaa dunia na Iran. Netanyahu anasema lazima aangushe utawala wa kiimla wa Iran. Trump anasema amemzuia. Kwa wenye akili, hii ni ishara kuwa kuna kitu wanapanga. Kwanza, wawili hawa hawaaminiki. Pili...
Mamlaka ya Uangalizi wa Polisi Huru (IPOA) nchini Kenya imewakamata raia watatu kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Albert Ojwang’, aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa polisi.
Watuhumiwa hao; Gin Abwao, Collins Ireri, na Brian Njue walikuwa wakishikiliwa katika Kituo...
Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae kidogo au ata kesho
Lakini je hivi vifo vingine vinavyotokea katika jamii haviwezi kudhibitiwa...
Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa kuchapisha taarifa za uongo
Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi imesema kuwa Askari James wa Kituo cha Polisi...
Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake.
Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
Katikati ya uhai na kifo, hapo ndipo kuna maisha yako..
Kabla hujafa, wewe ndio adui mkuu wa furaha yako..
Ukiwa hai wewe ndio star, wa kuchagua uwe na tabasamu lipi.
Madeni yako ni wakati unapumua tu, ukiondoka watakulipia ndugu..
Amani unayoitafuta kwenye vichaka vya usaliti, na wanafki...
Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.