kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Najiuliza ni lini magonjwa mengine yaliacha kuua? Mbona kila kifo sasa ni Corona?

    Najua tumepoteza wandugu wetu kadhaa kutokana na ugonjwa huu wa COVID-19. Mungu awarehemu marehemu na atupe faraja wafiwa. Lakini najiuliza kwanini kila kifo kinachotokea sasa kinahusishwa na Coronavirus, hasahasa kikitokea kwa watu mashuhuri. Naamini watu wengi mashuhuri waliokufa kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  3. JamiiForums Tanzania Kifo cha Jack Daniel, mtengenezaji wa pombe kali kilisababishwawna hasira.

  4. JamiiForums Tanzania Tusitishane: Hakuna maisha baada ya kifo!

    Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!. Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
  5. JamiiForums Tanzania QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

    QUANTUM IMMOTALITY Wasaalam kuna mtaalamu alipata kusema "UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA" kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini. Tumejifunza vingi sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

    Kiukweli binadamu tumetofautiana sana. Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

    Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo. ======== Pakistan court sentences three to death for blasphemy Fourth accused, a college teacher, sentenced to...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kifo

    Ewe mama/ baba unaempakia mwanao au wanao wawili kwenye boda boda kupelekwa shule acha ufala, upumbavu na uvivu. Boda boda ni kifo! Ewe mdada wa chuo unaependa urembo wako na uzuri wako, boda boda ni kifo. Ewe boda boda tafuta kazi ya nyingine ya kufanya achana na huo upumbavu wa boda boda!
  10. JamiiForums Tanzania PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiJorums. Waziri Kabudi alikosea sana kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory Gwanda. Alipaswa kukubali kwamba ni kweli alikufa ndani ya mawazo, akili pamoja na mioyo ya wanaharakati. Ninajua fika baada ya kuandika thread hii kuna watu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

    Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda. Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi Lakini mbona...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo. UPDATES: MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
  13. JamiiForums Tanzania UN: Adhabu ya Kifo haipunguzi Uhalifu

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema unachagiza kuondolewa kwa adhabu ya kifo ili kuepuka hatari ya kuwaua watu wasio na hatia lakini pia kila mwanadamu ana haki ya kuishi. Pia wamesema hakuna ushahidi wa dhahiri kwamba adhabu ya kifo inapunguza uhalifu. Hivyo wanachagiza kwa sentensi kuwa ‘Adhabu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
  15. JamiiForums Tanzania Kipi bora kushuhudia kifo cha mzazi wako, anaeumwa au kuambiwa kafariki?

    Wakulungwa naomba mnisaidie hivi kipi bora kuwa karibu na death bed ya mzazi wako anaeumwa au kuja wakati ameshakata kauli. Binafsi nadhani nibora ningekuwepo kushuhudia the last moments of my beloved dady probably he would have something to tell me. Naumia sana kwamba mzee wangu alifariki...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, kutakuwa na uchelewesho wa kuapisha Baraza la Mawaziri kufuatia kifo cha Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji mstaafu Nsekela?

    Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo. Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utata wa kifo cha Abubakar Khamis Bakar mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Marekani kusitisha adhabu ya kifo inayoendelea kutekelezwa

    Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa wito kwa serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo ya unyongaji iliyoanzishwa tena kufuatia uamuzi uliochukuliwa. Peter Stano ambaye ni Msemaji wa Kamati ya EU, alitoa maelezo kuhusu suala hilo na kubainisha hofu waliyokuwa nayo dhidi ya serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Napokea maoni katika hatua yangu ya kutunga AMRI rafiki na halisia za kabla na baada ya kifo

    Mimii si mwandishi mzuri lakin nitafupisha kadri ujumbe ufike. tunakubaliana kuwa dini na imani yoyote ulenga kuweka sawa mahusiano kati ya Muumba na muumbwa/viumbwa. Kwa vile imani ni nyingi na zipo zinaendana na mahitaj ya jamii flani, si mbaya busara zikijikusanya kama za vitabu...
  20. JamiiForums Tanzania Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

    Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea, Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Aliedhuriwa na haya mambo kumbishia ni sawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…