kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

    Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake. Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
  2. JamiiForums Tanzania Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu. Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

    Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali. Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na...
  4. JamiiForums Tanzania Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

    Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa. Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama pekee ndiyo imepewa mamlaka ya kutoa hukumu ya Kifo na si vinginevyo

    Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama inawajibika kuwalinda raia wake kila wakati bila kujali hali zao au matendo yao. Haki ya Kuishi inakoma tu pale Mahakama inapotoa adhabu ya Kifo kwa mkosaji. Ibara ya 14 hadi 17 ya Katiba ya Tanzania inalinda Haki ya Kuishi kwa Sheria namba 15 ya...
  6. JamiiForums Tanzania Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

    Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums. Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea. Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool. Tutayasikia mengi lakini huo...
  7. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Hii ndio sababu ya kifo cha Malkia Elizabeth II

    Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8. Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho. Kifo cha marehemu Queen...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

    Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne . 1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri...
  9. JamiiForums Tanzania Wawili wanusurika kifo wakijaribu kupora duka Dar

    Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge. Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli. Katika chaneli hiyo ya mtandao...
  11. JamiiForums Tanzania Freemason walivyotoa pole kwa kifo cha Malkia

    Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa. Wachunguzi wa dini ya Freemason wanasema kwamba familia ya Malkia ni familia mojawapo kati ya familia 13 za...
  12. JamiiForums Tanzania Kifo Cha Balozi Paul Rupia: Dar es Salaam Tumefiwa

    KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe matukio au iwe taazia. Naitazama taazia ya Balozi Paul Rupia baada ya kumaliza kuisoma na kuna kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Tajiri mwingine wa Urusi afa kifo cha kutatanisha, wanauawa sana hawa

    Anayewaua matajiri wa Urusi hususan walio na ukaribu na Putin sijaelewa anawaua kwa nia ipi au ili iweje.... An aviation expert has become the latest Russian official to fall to his death in mysterious circumstances. Anatoly Gerashchenko, the former head of Moscow’s Aviation Institute (MAI)...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini pale mtu anapofariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa?

    Habari wakuu natumaini ni wazima wa afya kabisa. Swali langu kubwa ni kuwa hivi kwanini pale mtu anapo fariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa. Mfano kama mimi kuna mzazi wangu mmoja ali tangulia ila hata kabla hawaja mzikaa wakakusanya nguo zake zote na kuzikunja na kuzipack yani...
  15. JamiiForums Tanzania Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

    Dodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana. Nikaanza kujiuliza upya ni wapi nlikosea. Ndiyo....ni wapi nlikosea maana mimi mara ya kwanza sikuwa nakubaliana na mambo kadhaa ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona Channel yoyote ya Uingereza ikiomboleza kifo cha Malkia kwa kupiga nyimbo za kwaya kama Afrika

    Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ndoa mpaka kifo

    Idadi ya vifo, majeruhi na athari hasi mbalimbali zitokanazo na mahusiano mapenzi na ndoa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti idadi kubwa ya athari hasi zitokanazo na mapenzi ndoa pamoja na mahusiano. Utasikia huyu kamuua mkewe kisa wivu wa wapenzi, au...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

    Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…