kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Yezebeli na kifo cha aibu

    GTs, Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa chakula cha mbwa na jamaa zake wote waliliwa kama mizoga. 1 Wafalme 21:23-24. Ukiwa na madaraka ni...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  3. JamiiForums Tanzania Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Naam Kwa Mara Nyingine Tena, Hii Ni Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mzuri Zenye Kusisimua Kutoka Kwa EDGAR MBOGO Leo Nakuletea Simulizi Mpya Inayokwenda Kwa Jina La (KIFO CHA HAWARA (Mkono Wa Jini) Itakayo Kujia Hapa Hapa JamiiForums Mwanzo Mwisho, Hii Sio Ya Kukosa, Na Kama Ulipitwa Na Simulizi...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  6. JamiiForums Tanzania Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake. Lakini mara nyengine...
  7. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  8. JamiiForums Tanzania Ni fainali ya kifo.. Imengiliwa mno na watu wenye maslahi binafsi yasiyojulikana nia yake

    #MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja. Magori amesema anaendelea kuchunguza baadhi ya masuala yaliyotekea nyuma na ataripoti kila jambo ikihitajika kwa FIFA...
  9. JamiiForums Tanzania π—šπ—”π—­π—˜π—§π—œ π—Ÿπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—šπ—”π—­π—”: CHADEMA yafa kifo cha Mende!

    Mwenye macho haambiwi tazama
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  11. JamiiForums Tanzania Nina hofu ya kifo sana

    Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Wachaga hawawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwatenganisha

    Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  14. JamiiForums Tanzania Watafiti wanasema ukifika mwaka 2050 watu watakuwa na uwezo wa kuepuka Kifo

    🌍 Aiseeeh Dunia bhana πŸ˜‰, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa πŸš’....!!!!! πŸ’‘ Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari. πŸ’‘...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

    Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo. No Reform no Election...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akifa leo wauaji ni serikali ya Samia

    Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  18. JamiiForums Tanzania Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Ukitambua kifo jua umetambua maisha

    Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu HuuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.
  20. JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

    Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…