kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Somalia sheria ya kifo kwa wahalifu na magaidi imesaidia kuituliza somalia

    Somalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni. Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira tena. Somalia baada ya miaka ya mbeleni itakuwa imetulia na kuwa nchi salama sana
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nayachukia maisha sababu ya kifo

    Nimeamka leo na taarifa ya msiba wa ndugu wa karibu aliyefariki jana usiku kutokana na ajali. Kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako, mzazi, rafiki wa karibu unajua maumivu makali ya kupoteza mtu ambaye alikuwepo kwenye maisha yako na ghafla hayupo tena. Nayachukia sana maisha kila...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo, dini, filosofia na sayansi vinasemaje?

    Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu: 1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Nini kilichopo nyuma ya kifo

    Imani za watu, huvunjika na kupotea baada ya kupatwa na mtihani wa mauti. Hapo hata wapendwa, mashehk, mapadri, wachungaji hulia kwa huzuni ya kuondokewa na mpendwa wake. Ni ngumu kukabiliana na tukio la kuondokewa au kufiwa, lakini je Mungu ana kusudi gani juu ya Kifo?. Kwa kuwa kila mtu ana...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtu anavyokihisi kifo

    hivi kwenye haya maisha yetu ya kila siku tumewai kujiuliza baadhi ya njia za maisha ya akhera, basi nimepitia nukuu moja inasema "uwe hodari na jasiri usiogope,usife moyo,kwa maana mwenyezi wako atakuwa pamoja nawe kila uendako"
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je mtu akifa, tozo za kodi endelevu kama za ardhi, zinasimama ?

    Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7. Nani alipe ? Kwanini ?
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye ulemavu (Albino) akutwa amefariki ndani, mlango ukiwa umefungwa kwa kufuli

    Wande Mbiti (38), mkazi wa Kitongoji cha Busalala, Kijiji cha Nhelegani, Kata ya Kizumbi, mkoani Shinyanga, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi huku mlango wa nyumba hiyo ukiwa umefungwa kwa kufuli kwa nje. Tukio hilo limebainika jana...
  9. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania NIMEOTA NIMEPIGIWA SIMU NA KAKA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA........

    Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa wote waameshatangulia mbele za haki na tumebaki na mama mdogo tu/mlezi na akaiunganisha iyo simu na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania T Bag nae alihuzunika kifo cha Brad Bellick

    Hii ni picha ya TBag baada ya kupewa taarifa na Fernando sucre kwamba Brad bellick amefariki T Bag alikua alikua na moyo mgumu ila alivyopewa taarifa ghafla alipata mshangao , hakuamini mwishowe alihuzunika sana . officer bellick dakika za jion kabsa hatunae
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Aliyemchoma Mkewe Kwa Mkaa, ahukumiwa Kifo , ila Marehem Dada wa Bilionea Msuya , hakuwahi pata Haki yake

    Hizo ndo Mahakama zetu sasa , Wenyewe Wana Lugha yao utasikia "Technical Errors" https://youtu.be/ydRPqeEjo68?si=fXGHbowBJnoiD4pW
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali miaka 15 iliyopita. Tanzania kufariki ni dakika 0 tu!

    Ni miaka 15 sasa imepita tangu ninusurike kuuawa na walimwengu. Nilikuwa nikiishi Tabora, na jioni moja, nilikuwa natembea mjini Tabora. Wakati natembea, nikajihisi kubanwa haja ndogo, nikawa nakatiza mtaa wa Salimini. Kwa wale wenyeji wa Tabora, mnafahamu ule mtaa ulivyo wa Kiswahili...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Dejavu: Abraham Lincoln, Rais wa Marekani aliyeota kifo chake

    DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu kutabiri au kuhisi matukio yatakayotokea, jambo linalojulikana kama déjà vu au hata ndoto za utabiri...
  17. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 212 wahukumiwa kifo huko Kivu kusini

    Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo. Mbali na hukumu hiyo, wote wametakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani, laki mbili. Mashitaka...
  18. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaomboleza kifo cha Mwanamke wa kwanza mweusi kuwa Nuclear Scientist

    Habari Wakuu! Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37. Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa. Masango alijiunga...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto mwenye umri wa miaka sita akutwa amefariki kwenye korongo la maji, wazazi tukumbuke usalama wa watoto kipindi hiki cha mvua

    Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi. ===== Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu

    Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi hayo yametolewa na Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu, Arusha katika kesi ya Ladislaus Chalula dhidi...
Back
Top Bottom