kidole

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awanyooshea Kidole Viongozi Wanaorudisha Nyuma Maendeleo Kagera

    BASHUNGWA AWANYOOSHEA KIDOLE VIONGOZI WANAORUDISHA NYUMA MAENDELEO KAGERA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameendelea kuwanyooshea kidole baadhi ya Viongozi wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo ya mkoa wa Kagera na kutoa wito kwa Wananchi wa mkoa huo kusimama...
  2. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ya Jumapili, Waweza kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume kwa kuangalia vidole pekee, vidole vinaeleza mengi

    Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuelimisha urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole

    Ni maneno ya hekima na busara sana kutoka kwake Tundu Antipas Lissu: "Kwamba watanzania si waoga bali hao wenye kuyasema hayo, ndiyo pekee walio waoga." Kwamba watanzania wanahitaji kuhamasishwa na kuongozwa na watu wanaowaamini. Kumbe ni wapi ambako wananchi huko, kuhamasishwa, au...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  5. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

    How many issues May you observe... Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
  6. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Kina shida gani hiki kidole wataalamu na tutibu vipi?

    Hili tatizo linazidi kukua, ilianza kama. Mstari hivi pembeni linakula kucha ya mtoto.
  7. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi kwa kuwapora mali zao. Jeshi la polisi tunaomba mkafanye kazi yenu Vingunguti.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kila aliyeelekezewa kidole na CAG asibakizwe ofisini

    Tuna nchi nzuri yenye fursa nyingi iliyogeuzwa kuwa mali binafsi ya wachache wenye kufahanika kwa kutokushiba kwao. Maisha yamekuwa magumu. Mzigo wa kodi na tozo umekuwa usiomithilika. Wakati serikali yenyewe ikiwa imelenga makusanyo tu, bila kujali kuvuja kwa mifuko yake wala kama wananchi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Samia: 70% wanalinyooshea kidole jeshi la polisi

    Tumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili. Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi. Taasisi isiyokubalika kwa kiwango hiki ni ya nini? Kwanini taasisi hii isivunjwe ikasukwa upya na ikibidi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

    Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
  11. Diversity

    JamiiForums Tanzania KWELI Mafuta ya taa, kitunguu na ndulele huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole (paronychia)

    Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole. Ukweli ni upi?
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

    Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao...
  13. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 37 atumia kidole kimoja kujenga maisha ya furaha

    Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

    Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza. Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani. Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
  16. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu wanaoinyooshea kidole elimu ya Tanzania

    Habarini. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa na ongezeko la watu wanaopinga elimu yetu, wengi hoja yao kubwa ikiwa ni pesa. Madai ya baadhi ya hao watu ni ni kwamba ni heri mtoto amalize form form halafu akatafute maisha Kama kufanya biashara. Mbaya zaidi baadhi ya...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassmu Majaliwa awanyooshea kidole TARURA, awataka kusimamia miradi kwa weledi na uaminifu

    MAJALIWA : TARURA SIMAMIENI MIRADI KWA WELEDI NA UAMINIFU === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa TARURA wasimamie miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia mikataba husika na pia wawe wabunifu kutumia teknolojia mpya, sahihi na rafiki kulingana na upatikanaji wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwachisha mtoto kunyonya kidole?

    Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi. Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa. Hadi awe amelala sana (fofofo) ndo unaweza ukamtoa. Hii tabia imekuwa sugu hadi ukucha wa kidoleni...
  20. msovero

    JamiiForums Tanzania Ni mapema mno kumnyooshea kidole mheshimiwa Rais, Tumpe muda!

    Nianze na suala la kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani bw. Freeman Aikael mbowe kukamatwa kwa kiongozi huyo wa upinzani kwa tafsiri ya kisiasa inaweza kuonekana ni agizo kutoka juu ili kudhoofisha upinzani au kukwamisha mapambano ya kudai katiba mpya. Lakini ukweli ni kuwa kukamatwa kwa mbowe...
Back
Top Bottom