A sabotage operation against one of the buildings of Iran’s Atomic Energy Organization (IAEO) caused major damage – despite Iranian denials, The Jerusalem Post learned on Wednesday night.
Although Iran has claimed throughout the day that the sabotage failed and caused no damage or casualties...
Leo Rais ametunyoshea mkono vijana kwa kuwa hatueleweki. Hatuna mipango. Amesema kuwa Vijana wamekuwa wabeba maono/ Mabegi wa watu. Hatuna dira kama Vijana hata sera ya tangu 2007 haina maboresho yoyote.
Nikiri kuwa Mimi ni sehemu ya tulioshiriki kuandaa rasimu ya Vijana ambayo sasa ni miaka 6...
Siyo WHO wala vyombo vya habari vya kimagharibi ambavyo vinawanyooshea kidole Sweden kwa hatua yake ya kupambana na uviko-19. Sweden imeamua kuto funga nchi, pia kutoshurutisha watu wake kuvaa barakoa. Lakini ajabu ya mtende siyo Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus wala BBC ambaye hata amediriki...
Napenda kupewa Elimu ilikuwaje wakachagua kidole cha kuvishwa Pete ya harusi na siyo vingine, pia kwa asiye na vidole labda kwa ajali au ugonjwa huwaje?
Habari zenu wadau, Happy New Year
Siku hizi kuna kamtindo ka wadada maeneo mbalimbali ya Tz mfano hata hapa Dar hupendelea kuvaa pete lakini pete hiyo ukiichunguza unakuta si ya ndoa inafanana fanana na springi ndogo. Mara nyingi wadada hawa unakuta wamevaa pete hizo kidole cha index (hiki...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ameonyesha kukerwa sana na utendaji wa kazi wa Mkurugenzi aa Halmashauri ya Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kwa kushindwa kutekeleza miradi ya maendeleo ipasavyo.
Hilo limejitokeza leo hii tarehe 16 Desemba wakati Waziri huyo alipotembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.