kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamani kuna Wakenya hapa tujadili football kidogo

    Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman , Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze Kukudinyeni...
  2. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  3. JamiiForums Tanzania Nyoka Mwenye Kichwa Kidogo sana umbo kubwa eneo la katikati na Mkia Mwembamba

    Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
  4. JamiiForums Tanzania Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

    Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu "Haya" Kesho yake anakutumia "mbona kimya?" Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu "Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwatetea Watanzania inahitaji kidogo uwe na tatizo la Kisaikolojia

    Hamjambo! Moja ya mambo niliyojifunza kwa muda mfupi kuhusu utetezi wa Haki ni pamoja na uhusiano wa Haki na Saikolojia. Na hapo ndipo nikakuta mifano halisi katika jamii yetu. Nitakupa mifano kadhaa; 1. Huwezi tetea haki za Waumini wa Manabii wa upako ambao unahisi au unajua wanatapeliwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye jambo hili,linanitatiza kidogo

    Wasalaam. Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri. Iko hivi, Juzi, yaani jumamosi, Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno. Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu. Basi...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

    Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha, Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu , Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta, Tatizo kubwa lipo kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  9. JamiiForums Tanzania Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

    Katika jamii tunazo ishi kuna aina au kundi la wanaume ambao ni dhaifu ambao ni aina ya mwanaume jamii ya wanawake humtengeneza kama retirement plan au mpango maalumu kufanikisha mipango yao ya kimaisha bila kuwajibika lolote kwa huyo mwanaume au huyo mwanaume kupata maslahi yoyote katika huo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

    Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kuwa na aibu kidogo!

    Msoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu! Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF tubadilike

    Hell Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa JF sio matured kitu sicho kizuri mna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani inakula mafuta kidogo?

    Wakuu nahitaji usafiri,nipo nje ya mji kidogo ninahitaji gari yenye ulaji wa mafuta kidogo. zangu za dhati umbali toka home to job ni walau 22km
  14. JamiiForums Tanzania Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM ubinafsi, wajumbe wao wamelalamika kidogo, wamekubali kubadili kanuni, ila NRNE wagoma

    Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu kuwa na mtu au kikundi kidogo kinacho controll uraisi haikwepeki, Nashukuru tu remote haiko kwa kabila kubwa.

    REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
  18. JamiiForums Tanzania Chemsha akili kidogo

  19. M

    JamiiForums Tanzania Mayala: Samia Kaachie Kidogo kale Kasimba ka Kizimkazi

    Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.
  20. JamiiForums Tanzania Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

    Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako Kuna mtu atasema ni majani ya chai Kuna mtu atasema hii thermos Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi🤣🤣 Kuna vijana watasema pesa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…