kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

    Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
  4. JamiiForums Tanzania Kidogo nizimie nilipomuona poshy queen live!

    Hawa celebrities wetu Ni Bora umuone kwenye picha (editing) vinginevyo unaweza kuzimia aisee. Nimekutana na mshangao wa 2024.
  5. JamiiForums Tanzania Ninathibitisha kuwa Marais wa Afrika hawana akili hata kidogo

    Tunatambua uwezo wa binadamu katika kujumuika na kuendesha mambo mengine ya kidunia, uongoni ni busara ya kushawishia kupitia maamuzi kwa ajili ya wengine.bahati mbaya iliyoje viongozi wa afrika hawana sifa ya uongozi (influence) bali wamepata authority (mamlaka) na power (nguvu) ya kutuendesha...
  6. JamiiForums Tanzania Quran imetaja neno 'Israel' mara 43, lakini haijataja neno "Palestina" hata kidogo

    Kitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

    Naomba nisizungumze mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

    Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia? Seriously!!! A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song? Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50...
  9. JamiiForums Tanzania Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

    KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi. “Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana -...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
  11. JamiiForums Tanzania Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

    👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu. 👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza 🙏Bei yake 495,000/= Naliuza kwa sababu na shida Piga simu leo 0713...
  12. JamiiForums Tanzania Ukichelewa kidogo mnakufa wote

    Roadlife. Mko safarini safari ya kwenda mbali mara unamuona dereva wako keshaanza hivi mara apige miayo au anajikunakuna mara katoa mkono nje mara kwenye kiti chake amekaa upande, yaani hatulii basi stuka mara moja mshauri apumzike, vinginevyo hamfiki mbali anawaletea matatizo na pengine...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  14. JamiiForums Tanzania Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

    Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe My...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Rais Yoweri Museveni apuuzia kuhusu nchi yake kuondolewa kwenye mpango wa AGOA

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA. Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  20. JamiiForums Tanzania Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

    Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa. ile ya 5-0 timu zilishalipizana 1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…