kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. kagoshima

    Nikama baada ya kudakwa kule Kenya watekaji wamekula pozi kidogo

    -Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha?
  2. Yoda

    Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  3. Mshana Jr

    Utekaji Tanganyika! Kumepoa kidogo au!?

    Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion! Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani.. Kuna walionusurika kutekwa Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai...
  4. A

    KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

    Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali. Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
  5. ChoiceVariable

    Kwa Watumishi wa Umma: Kipi Bora Kwako Kama Mwajiriwa? Uchukue Mkopo Mkubwa Kwa miaka 10 au Uchukue Mkopo Kidogo Kidogo?

    Kwa maoni yangu kuliko kuchukua vimikopo vidogo vidogo vya kulimbikiza Bora nichukukue pesa ndefu miaka 10 kabisa au zaidi nifanye jambo linaloeleweka. Ukiona wale waliokopa na wakafanya ujenzi ukaishia njiani, wengi wao ni walichukua Mkopo wa muda mfupi (less than 5 years). Lakini ukichukua...
  6. Q

    Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  7. M

    Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  8. M

    Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  9. Zee la madawa

    Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

    Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
  10. H

    Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika

    "Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika ni walaji na ni walafi na wanafanya vitu kama vile wananchi wa sasa hivi hawana elimu, lazima tufahamu sasa hivi ukienda sehemu yoyote hata kama ni kwenye kijiwe cha bodaboda utamkuta mtu wa chuo kikuu, utamkuta wa 'form...
  11. mbeyu T

    Wadau, msaada kidogo hapa

    Mimi ni mwanafunzi wa MSc in Data Science (UDSM). Kwa upande wa research, mambo yamekuwa magumu sana hadi nimeshindwa kumaliza kwa wakati. Kwa hiyo naangalia option ya kuhamia chuo kingine ili niweze kumaliza masters yangu. Sasa changamoto niliyokutana nayo ni hii: Chuo ninachotaka kuhamia...
  12. appoh

    Mambo madogo yanaanza kua mkubwa kidogo kidogo

    Wanayotaka wananch wasikilizwe kabla hali haijawa mbaya tuna nafas kubwa sasa ya kubadilisha hali hii
  13. Troll JF

    Airtel wakifunga huduma zao kwenye sim Card yoyote wanakua na Kosa? Jibu hapana tujadili kidogo

    Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia Lugha za Kisheria ambapo watu wengi wanapuzia kuzisoma na ukikaa ukisoma kwa makini hizi agreement huwa...
  14. M

    Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

    IST RAUM SPACIO RUMION RUN X
  15. mwenye shamba

    Tupite hapa kidogo

    Nguvu ya Taifa lolote ni Wananchi wake, viongozi waliotokana na ridhaa ya Wananchi wake, utawala unaojali zaidi hali ya maisha ya watu wake na kesho yao, utawala ukiwa haujatokana na ridhaa ya Wananchi ni ngumu kufikia agenda za maendeleo kwa sababu kutakuwa na mpasuko baina ya watawala na...
  16. stakehigh

    Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

    Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
  17. JOHNGERVAS

    Hebu soma hiki kisa kidogo ujifunze jambo. Mnadhani huyu dada yuko sahihi?

    Nimeikuta huko mtandaoni mtu anaomba ushauri nimesoma nimeumizwa sana lakini imenifikirisha zaidi. Ni Me copy na kupaste nilitaka kuihariri nikaona naweza kupoteza maana hebu soma tu mwenyewe Jaman staki kuchamba naomba ushauri mimi nimechanganyikiwa na shida zangu hapa sielew kabisa...
  18. Mkanaani

    Usiteseke na joto, njoo upate AC kwa kulipia kidogo kidogo, kukodisha au kununua cash.

    Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k AC zetu unaweza kupata kwa; KULIPIA KIDOGO KIDOGO, hapa unakua unafungiwa AC na unakua unalipia kidogo kidogo kila...
  19. Fbn

    Kupinduliwa kwa CCM hakujapatikana chanzo ila siku kitapatikana chanzo kidogo mfano TUNISIA

    Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi. Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
  20. dogman360

    KERO Ila TCU inachofanya sio fair hata kidogo

    Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university. Tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndio tumkamilishie usajili. Dogo bana si akapangiwa mkopo, sasa nikawasiliana na chuo kwamba nakuja wakasema generate control number ufanye malipo kumbe hio...
Back
Top Bottom