KERO Ila TCU inachofanya sio fair hata kidogo

KERO Ila TCU inachofanya sio fair hata kidogo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

dogman360

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
214
Reaction score
354
Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university. Tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndio tumkamilishie usajili. Dogo bana si akapangiwa mkopo, sasa nikawasiliana na chuo kwamba nakuja wakasema generate control number ufanye malipo kumbe hio siku TCU wakakifungia chuo.

Tumeenda chuo ndugu yangu anaambiwa hatambuliki na chuo, na TCU hawawezi kumsaidia kumhaamisha kwenda chuo kingine sababu alikuwa hajafanya usajili chuoni hapo

Hii sio haki kabisa maana kuna baadhi ya vyuo usajili bado unaendelea hadi tarehe 12 (MUHAS) why huku mseme hawezi saidiwa?

Dogo yuko nyumbani haelewi na hatujui tufanyaje, kama TCU watasoma hili embu watende haki kwa wote waliokuwa wamepata nafasi hapo MZU.
 
Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university .tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndo tumkamilishie usajili dogo bana si akapangiwa mkopo sasa nikawasiliana na chuo kwamba nakuja wakasema generate control number ufanye malipo Kumbe hio siku TCU wakakifungia chuo tumeenda chuo ndugu yangu anaambiwa hatambuliki na chuo , na TCU hawawezi kumsaidie kumhaamisha kwenda chuo kingine sababu alikuwa hajafanya usajili chuoni hapo ..hii sio haki kabisa maana kuna baadhi ya vyuo usajili bado unaendelea hadi tarehe 12 (MUHAS) why huku mseme hawezi saidiwa .

Dogo yuko nyumabani haelewi na hatujui tufanyaje ..kama TCU watasoma hili embu watende haki kwa wote waliokuwa wamepata nafasi hapo MZU
TCU walishatoa taarifa wiki kadhaa kwamba wamekifungia chuo hiki na kwamba waliosajiliwa hapo wafanye ku-confirm vyuo vingine.
 
Kama hamkukamilisha usajili nyie ndio wenye matatizo.
Uongozi wa chuo kuwaambia hawamtambui ndogo wako sawa kabisa .
Kwanini msingekamilisha usajili ndio aendelee kusubiri mkopo sometimes kwenye haya maisha lazima kutake risk. Hiyo ndio gharama ya kutaka muda wote uwe kwenye safe side.
 
Back
Top Bottom