kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dhana ya Adam na Hawa kuwa wa mwanzo kwenye dunia na hadithi ya Nuhu ni mada ambazo zimekuwa na hukakasi nyingi za kifikra na kidini

    Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya Yesu kukomesha seherehe zote za kidini na kuwaelekeza kwenye hii moja inayokuja

    Kilele cha kila matukio ya sherehe za kidini ni matukio ambayo moja kwa moja au kwa kinyumenyume yanahamasisha dhambi kwa wahusika na wasiohusika. Sikukuu za kikristo ambazo hazina baraka (endorsement) za Kristo huitimishwa na ongezeko la zinaa, matumizi ya anasa ya fedha, ulevi, ulafi, ajali...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Serikali haisajili 'groups za WhatsApp' bali inasajili kisheria jumuiya zisizo za kidini

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa amesema kuwa Serikali haisajili 'groups' za WhatsApp isipokuwa wanasajili jumuiya mbalimbali ambazo sio za kidini ambazo zipo kwenye jamii. Anasema kuwa zoezi la usajili ambalo linaanzia kwenye Mkoa wa Dar es...
  6. JamiiForums Tanzania Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  8. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha...
  11. JamiiForums Tanzania Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
  12. JamiiForums Tanzania Magaidi ya FATAH na HAMAS yote yenye mlengo wa kidini, yaanza kulumbana

    Magaidi ya FATAH yenye mlengo wa dini ya kiislamu na magaidi ya HAMAS yenye mlengo wa dini ya kiislamu, yaanza kulumbana, hao FATAH wanawalaumu HAMAS kwa kusababisha majanga Gaza ambayo hayajawahi kushuhudiwa. =============== Marking the first time in which a formal Palestinian voice has blamed...
  13. JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaripoti mauaji ya Watu 170 waliochinjwa ndani ya wiki moja, Machafuko ya Kidini yakitajwa

    BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS. Taarifa iliyotolewa leo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali leo Machi 3, 2024 imeeleza kuwa mauaji hayo yaliyoanza...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Upatikanaji wa Sukari hauhusiani na masuala ya Kidini

    Bashe ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya uhaba wa Sukari kumalizika kabla ya Mfungo wa Ramadhan ===== Salaam Ndugu Zangu, Ningependa kutoa ufafanuzi wa kauli yangu iliyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wakati wa maswali na majibu kwenye mkutano na wahariri uliofanyika Ikulu, Dar es...
  15. JamiiForums Tanzania Top Hezbollah commander hit in apparent Israeli strike as air force head threatens more

    A burning car is seen in the southern Lebanese town of Nabatieh after it was struck in a reported Israeli airstrike on February 8, 2024. (Screenshot from X used in accordance with clause 27a of the Copyright Law) An apparent Israeli drone strike Thursday in southern Lebanon targeted two...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani wamuua kamanda wa Kataib Hezbollah

    Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran. =========== A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said. "(US) forces...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ufilipino laua magaidi waliolipua kanisa Katoliki

    Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa. Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%) ni Wakristo, yaani jamaa wanajitutumua tu. ========= Government troops killed nine members of a...
  18. JamiiForums Tanzania Nyota na masuala ya kidini (UDINI)

    NYOTA NA MASUALA YA KIDINI ( UDINI ) 1. Hawa kiukweli ni watu wanaoegemea upande wa dini yao tu. Yaani hufuata sana dini yao tu. Na wapo tayari kuilinda dini hio ILA SASA kinachofanya waheshimu dini na mila za imani zingine ni maslahi yao binafsi. Hawa wamegundua ukiweka sana misimamo...
  19. JamiiForums Tanzania IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

    Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika... Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’ The Israel Defense Forces on...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA". Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi? Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…