1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano.
2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu?
Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.
Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.
Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?
Nchi kubwa namna hiyo...
Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana.
Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Huu ni uwendawazimu kabisa.
Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini
Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike
Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
Habarini Wakuu,
Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi.
Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani.
Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo.
Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu.
Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.
Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.
Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.
Mwangalie hapa anatabasamu.
Inasikitisha sana
Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.
Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?
Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
Let's set feelings aside and go with the facts.
Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?
Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote..
Kosa waniingizie mkwanja Tu...
Dk Mo ana uhakika gani kuwa wanasimba wangapi hawamtaki Mangungu?
Mangungu amechaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mwenyekiti, hawezi kuondolewa na Dk mo kihuni kwa makosa ambayo hayana ushahidi. Yaani wajumbe woooote hawana akili kumchagua Mangungu. Kama vile inageuka vita ya kibiashara na GSM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.