kichapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. toriyama

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

    Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19 #mgomo KARIAKOO 24/6/2024 Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

    Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yanga atapokea kichapo kwenye Derby

    Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza. Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa. WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Bondia Dula mbabe wa Tanzania ashushiwa kichapo kizito huko Uk

    Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza...
  5. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Sura yangu imesagika na kusawajika kwa kichapo cha mama mkwe

    Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri. Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote. Furaha yangu ilibadilika na kugeuka machungu baada ya mume wangu kwenda masomoni nchini Uingereza kisha mama...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kwa kichapo kinachoendelea dhidi ya Yemen na magaidi wa Houthi

    Mabomu yanashushwa kama mvua, imebidi Iran itoe neno..... Iran has condemned the latest strikes by the United States and Britain on Yemen, saying they were seeking to “escalate tensions and crises” in the region. The condemnation comes after American and British forces carried out fresh...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

    Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kutembeza kichapo Lebanon

    Kupumzika ni binguni ila kwa sasa ni mwendo wa kichapo, pia HAMAS waharakishe wanachokifanya, warejeshe maeka fasta ili turudi uwanjani. Israeli forces are shelling targets in southern Lebanon, the Reuters news agency reports, citing state media. There is no immediate comment from the Israel...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa 300 UN walazimika kutazama video za HAMAS, nafikiri sasa makelele yatapungua, kichapo kiendele

    Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

    Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars haiwezi kushinda dhidi ya Morroco kwa kukata viuno uwanjani. Hata kama rais anununue tiketi zote leo ni kichapo tu. Hakuna siasa njaa

  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

    Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo. Israel imesema iko...
  15. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  16. Objective football

    JamiiForums Tanzania Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

    Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja, mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya.
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israeli waendelea kuingia Gaza taratibu na kutoa kichapo

    Lakini wanatumia akili wapo makini, hawaingii kichwa kichwa kama Warusi walivyofanya Kyiv na kuangukia pua, hawa wanaingia kiaina yaani kikomando, na mpaka sasa wako Gaza ndani wanasukumiza kichapo. Inabidi kutumia akili maana magaidi ya kidini sio wapiganaji wa kawaida, lazima utumie ukomando...
  18. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

    Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu 1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara) 2. Namungo...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka meli ya pili ili kuhakikisha hakuna mtu atakayeingilia wakati Israel wanatembeza kichapo

    Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo. ============================ Washington/SeoulCNN — The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
Back
Top Bottom