Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi?
Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote.
Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka.
Habari ndio hivyo
Pang Fung Mi
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.
hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani.
Kweli, walitimiza...
Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona.
Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto.
Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa...
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho...
Credit kwa WasafiTv👇🏼
https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy
Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
Daah life la shule bhana so powa aisee.
Wakati nipo form 3 shule moja hivi kusini mwa Tanzania tena mkoa wenye baridi kali nilikutwa na hii fedhea ambayo ni ngumu kuisahau alooo.
Nakumbuka siku hiyo tulikuwa asemble tunajiandaa kuimba wimbo wa Taifa sasa mimi mikono niliiweka mfukoni ko hadi...
Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.
Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Al Jazeera nao wameanza kutumika? Nashindwa waelewa. Mbona hawa report vizuri hizi taarifa za Mayahudi? Hapa ni kama wanaelezea kwa furaha kupigwa kwa Maarabu.
Ritz Papa anasemaje leo?
Irani inachukua muda mrefu kujipanga walishapandisha bendera Nyekundu wanasubiria nini sasa? Ustaadhi...
Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans.
Amesema ametimiza ahadi yake.
Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief!
Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha!
Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
Leo walima alizeti wamekutana na kipigo kikali sana cha magoli matstu kwa moja.
Licha ya kufanya usajiri mkubwa lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Kocha uchebe falsafa yake mpira wa chini ule wa pasi moja moja, wachezaji bado hawajaelewana hawana utulivu,
Wanapiga pasi za hovyo utazani Mtibwa...
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.