kichapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Ukraine wasimika bendera yao Kherson baada ya kutembeza kichapo cha HIMARS

    Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya kesho. Habari zimfikie Putin popote alipo kwamba hata akiua mamilioni ya wa-Ukraine, lazima wafike...
  2. JanguKamaJangu

    Kocha Man United afuta mapumziko ya wachezaji baada ya kichapo cha 4-0

    Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League. Licha ya kuwa watakuwa na siku nane kabla ya mchezo ujao dhidi ya Liverpool, Ten Hag amefuta mapumziko na wamekutana ili...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Nakumbuka ile siku askari wa JWTZ alipokula kichapo cha fedheha kutoka kwa aAkari wa Magereza

    Hello! Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo. Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi. Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho. Yule mjeda alitumia...
  4. MakinikiA

    Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

    Vikosi vya Ukraine vilivyoko Severodonetsk vimetakiwa kuondoka, kwa mujibu wa afisa wa ngazi ya juu wa eneo hilo. Mji huo ndio kitovu cha uvamizi wa Urusi huku Moscow ikijaribu kuchukua udhibiti wa sehemu kubwa za mashariki mwa Ukraine. "Kusalia katika nafasi ambazo zimeshambuliwa kwa miezi...
  5. Idugunde

    Shuhudia vijana wa Mbatia wakitembeza kichapo

    Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
  6. Kamanda Asiyechoka

    Kwanini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?

    Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu. Je, mnadhani watanzania ni wajinga? Kwa nini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga? Kwa nini tusiwe na kinga yetu kamili...
  7. F

    Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

    Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata...
  8. Tony254

    Kuhusu Kesi ya ICJ. Hawa Somalia kama wanatafuta kichapo kutoka Kenya basi watakipata tu

    Kenya imechoka kubembeleza punda kwenye mteremko. Hawa Shabab wamekimbia kwenye mahakama ya kimataifa eti kujaribu kunyakua mipaka ya Kenya. Lakini Kenya imeshasema haitambui judgement itakayotolewa na mahakama ya ICJ. Kenya itaendelea kulinda mipaka yake kama kawaida.
  9. MabatiBeiNafuu

    VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  10. N

    Waliowakandia wachezaji wa AS Vita baada ya kichapo leo wanawasifia

    Baada ya jamaa kupigwa moja pale Kinshasa na kugongwa goals 4 hapo taifa kama kawaida takataka'z zenye hasira na mafanikio ya Simba zikaja na tahmini yao zikidai kwamba AS Vita iliyopiga simba bao 5-0 ya kina makusu ndiyo ilikuwa kali. Wakadai hiyo iliyopigwa goals 4 ilikuwa imejichokea tu cha...
Back
Top Bottom