kichaa

Espen Sørensen, known professionally as Mzungu Kichaa, is a Danish singer and musician. He was born in Denmark, but grew up in Tanzania, where his parents worked in the field of Development Cooperation. They went there when he was six years old. In Tanzania, he learned to speak Swahili fluently, and later on, he got involved in music and particularly in the production of Bongo Flava at Bongo Records. The latest outcome of his interest in East African music is his first solo album "Tuko Pamoja".

View More On Wikipedia.org
  1. hamis77

    JamiiForums Tanzania Itimar Ben Gvir Huyo ni mwanasiasa mtata na mwenye msimamo mkali wa Israeli ambaye aliongoza harakati za kumpinga Netanyahu

    Itimar Ben Gvir kichaa aliyepewa rungu, Huyo ni mwanasiasa mtata na mwenyemsimamo mkali wa Israeli ambaye aliongoza harakati za kumpinga Netanyahu na kutaka ajiuzulu kwasababu ya kusitisha mapigano ya Gaza. Sasa Netanyahu amemchagua tena Itimar kuwa waziri wa usalama wa taifa wa Israeli...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

    1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri. 2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere. 3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kipimo: Kama wewe sio kichaa usikomenti hapa

    Kama una changamoto ya afya ya akili komenti chochote. Madaktari wa akili kaeni karibu mnaweza pata wateja.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
  7. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna watu ukiwasikiliza vizuri unagundua kujibizana nao ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekuchukulia nguo

    Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO 1. Wanaongea kwa mihemko . 2. Wamedandia tu mada hawana ukiwabana sana hawana uthibitisho wowote. 3. Ni kawaida yao...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nyumba moja kuwa na meter kumi za LUKU haina maana, Napendekeza LUKU moja iwe na line nyingi kama simu

    Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana na matarajio yake ya kuongeza matumizi ya wapangaji au fremu za maduka baadae. Kwahiyo meter...
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwa sijafanya mapenzi kwa muda mrefu Kichaa kinapanda

    Nimekua na tatizo hili lakupenda kufanya mapenzi kupita kiasi.Yaan mi hata tulale tunachakatana sawa tu. shida ni kua nikikaa muda bila kufanya mapenzi kuanzia miezi miwili Nahisi kichwa kinataka kuchanganyikiwa .Ni kama vile GeNye zinapanda kichwani sielewi sieleweki siaminiki sishikiki...
  11. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nimeota nakimbizwa na kichaa wa kiume aliyebeba Jiwe

    Hii ndoto itakuwa na maana gani? Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo. Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili nisikumbwe na kichaa cha dini?

    Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi. Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya. Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa. Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa. Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yaongoza kwa Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa Tanzania

    ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma, Morogoro na Arusha. Jumla ya dozi 180,000 za chanjo ya kichaa cha mbwa zimesambazwa katika halmashauri 26 nchini kuanzia...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kupigania Katiba Mpya ni kama kumkamua maziwa ng'ombe mwenye kichaa

    Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba miguu ili umkamue, na kuna ng'ombe lazima umfunge kamba ndipo umkamue, kwa kuwa anaweza kukupiga...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  17. Mommadou Keita

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Kichaa cha Mpenzi

    Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mpina atakiwa apeleke Ushahidi wa Madai yake kwamba Maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa hayatekelezwi na Watendaji wa Serikali!

    Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia Hata hivyo hoja zake zilipingwa na Waziri Jennista Mhagama akidai ya kuwa hazina ukweli kwamba maagizo yanafanyiwa kazi na...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kichaa haachiwi fursa ya kufanya maangamizi-Ndugu Bernard Membe ziba masikioni, Mahakama iheshimiwe stay firm.

    Hello JF readers and family. Wazandiki na wanafiki ni wauaji, wakati hao wahuni na wadhenzi wakiandika mengi sana kuhusu senior na historical figure na more specifically a gallant and long serving stateman B. Membe, we didn't hear and see them trying hard and wisely to advise Magufuli and his...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

    Wanabodi, Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipokuwa akiyatenda hayo na kufanya makosa yale, hakuwa yeye, he was insane and possessed by demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa...
Back
Top Bottom