Nimeota nakimbizwa na kichaa wa kiume aliyebeba Jiwe

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Nov 25, 2022
501
1,148
Hii ndoto itakuwa na maana gani?

Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo.

Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa imekaa vibaya hivyo nilikuwa nakimbia kwa shida lakini pia nilikuwa nimevaa begi lenye uzito.

Mshana Jr
Rakims
 
Hii ndoto hiko wazi kabisa! Unakimbizwa na roho ya ukichaa/uchizi! Uenda hiko ndani ya familia/ukoo na wewe ndo mlengwa. Hujawahi kuona mtu alikuwa mzima kabisa lakini akafika ukubwani akawa chizi? Kama wewe ni Mkristo, vunja maagano ya dhambi/uovu wa kurithi vinginevyo unalo!
Na kuonyesha imeishaanza kukumyemelea ni kitendo cha kuvukwa na suruali ili uonekane utupu wako tendo linaloambatana na haibu! Uchizi uambatana na kuwa utupu!
 
Jitahidi uwe unakula chakula cha wastani tu kabla ya kulala. Ukila na kushiba sana chakula cha usiku, matokeo yake ndiyo hayo sasa!
 
Ndoto ilikua inatokea wapi? Yaani mazingira ya nyumbani? Kazini au kwa wazazi wako au wapi?
Muhimu sana kujua mazingira kwa sababu hayo ndio yataeleza kwa nini kichaa akukimbize?
Je kichaa ni mtu unamfahamu? Alikua analalamika khs nini? Hicho alichokuwa anakilalamikia ndio sababu ya kukukimbiza. Fanyia kazi hayo malalamiko kabla hali haijawa mbaya
 
Hii ndoto itakuwa na maana gani?

Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo.

Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa imekaa vibaya hivyo nilikuwa nakimbia kwa shida lakini pia nilikuwa nimevaa begi lenye uzito.

Mshana Jr
Rakims
Changamoto za Kiroho. Roho inapoacha mwili na kwenda kuzurura usiku huko duniani.. Lakini pia kunaweza kuwa na tafsiri nyingine kwamba kuna tatizo linataka kujitokeza lakini unajitahidi kulikwepa kwa nguvu kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom