Nifanyeje ili nisikumbwe na kichaa cha dini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,907
Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.

Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.

Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.

Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya na mataifa mengine kuhubiri bila hata ya kuwa na passport, boarding pass, na visa ni vichaa.

Wanaoua wengine kwa kuwalipua mabomu na wao kujitoa muhanga ni vichaa.

Sitaki kuwa kichaa, ila nataka kuwa na mahusiano ya karibu sana na Mungu wangu.

Hapo ndio huwa tunakosea, watu wanaabudu dini hata kuzidi wanavyoabudu Mungu.
Mara nyingi unaskia mtu anakuambia dini yetu hairuhusu hiki au kile.... Ujinga sana huo.

Haya masuala ya imani ni binafsi, yaani personal experience, sio kitu cha kulazimishana.
 
Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.

Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.

Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.

Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya na mataifa mengine kuhubiri bila hata ya kuwa na passport, boarding pass, na visa ni vichaa.

Wanaoua wengine kwa kuwalipua mabomu na wao kujitoa muhanga ni vichaa.

Sitaki kuwa kichaa, ila nataka kuwa na mahusiano ya karibu sana na Mungu wangu.

View attachment 2859852
Samahani Buji hv huyo mwanamziki wa dini anaitwa nani?
 
Usiwe serious sana! We sali, toa sadaka rudi home ukimuelewa mwanakwaya dinya, jichanganye na vijana usafi kanisani shiriki matamasha ya nandy usiache kiufupi we ishi tu!

Kama mm baada ya kutoka ibada ya mwaka mpya nlienda rongoni
 
Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.

Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.

Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.

Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya na mataifa mengine kuhubiri bila hata ya kuwa na passport, boarding pass, na visa ni vichaa.

Wanaoua wengine kwa kuwalipua mabomu na wao kujitoa muhanga ni vichaa.

Sitaki kuwa kichaa, ila nataka kuwa na mahusiano ya karibu sana na Mungu wangu.

View attachment 2859852
soma sana vitabu vitakatifu,usibague,,,soma BIBLE na Q'RAN tukufu pia!!!.....{zipo zilizotafsiriwa kwa kiswahili}usiingie kwenye dhehebu lolote bila kusoma kwa ni MUNGU anasema" WATU WANGU WANATEKETEA KWA KUKOSA MAARIFA",,,pia MUNGU anakazia kwamba" NA NITAPIGA MUHURI KWENYE MIYOYO YA WA2 WANGU,NAO WATAACHA KUJA KWENYE HUDUMA ZENU KWANI MUMEZIDI KUWAPOTOSHA",,,,,hapo alikuwa akiwaonya matumishi na manabii wa uongo!!!,,,,ukiingia kwenye dini yoyote bila kusoma, utakuwa kichaa kweli,,,kwani watakubraiwash!!
 
Back
Top Bottom