KIBURI ni kati ya tabia ngumu sana kujigundua kama unayo au la.
Na kwa sababu ya ugumu wa kujigundua, ndio maana imeliza watu wengi
Naweka hapa mambo kadhaa TUJIPIME SOTE KAMA TUNA DALILI ZA KIBURI AU LA:-
1. UKIONA, KILA UKIONYWA UNAKASIRIKA NA KUNUNA AU KUSUSA, HIYO NI DALILI KUBWA SANA YA...