kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia
nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
Ajira kwa Watoto ni kazi ambazo huwazuia watoto kuishi katika utoto wao, kuwavunjia utu na heshima yao pamoja na kuathiri ukuaji wao wa mwili na akili. Zaidi ya hayo Ajira kwa Watoto ni zile ambazo huingilia masomo yao kwa kuwanyima fursa ya kuhudhuria shule; kuwalazimisha kuacha shule kabla ya...
Hapo vip!
Nimejiuliza sana hili swali muda mrefu, miaka na miaka ila nimekosa jibu sahihi.
Wanawake wengi wa kiafrika wameamua kukana na kukataa asili yao na kuidharau kabisa tofauti na wanaume..nikimaanisha wapo tayari kununua nywele za bandia hata za marehemu wa kizungu wavae...
Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui..
Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16)..
kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana
huyu janja...
Jina lake halisi ni Thomas Fuller, Mwafrika aliyezaliwa huko Benin mwaka 1710 na kuuzwa utumwani huko Alexandria,Virginia USA mwaka 1724 akiwa na mika 14.
Alipewa jina la "Virginia Calculator" kutokana na uwezo wake wa ajabu wa kufanya kufanya mahesabu magumu kichwani.
Mfano aliulizwa kuna...
Thread Hii kwa Hisani ya DK YAHYA MSANGI (PHD)-WEST AFRIKA.
Ukiishi na wazungu utabaini jinsi vitoto vina uelewa. Na ndio maana wengi hupata digrii ya kwanza kabla hajavuka Miaka 18. Miaka 25 tayari wana PhD!
Watoto wa kiafrika digrii ya kwanza sio chini ya Miaka 25! PhD inasomwa uzeeni...
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
Yawezekana viongozi wetu wa kisiasa wanashindwa kutatua matatizo yanayowahusu wananchi kwa sababu mbili: Moja, hawana uwezo mzuri wa kufikiri na kutatua matatizo (Upeo wa akili zao ni mdogo).
Mbili, hawataki kutatua matatizo kwasababu matatizo ya wananchi ni fursa ya wao kuendelea kupata nafasi...
Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka
minne iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe
amesema mtoto...
Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine...
Baba mmoja nchini Kenya amemshtaki mahakamani mwanae wa kiume akitaka asilimia 20 ya mshahara wa mtoto huyo ili kukidhi mahitaji yake ya kila mwezi na kudai kuwa aliuza mali zake nyingi ili kumsomesha lakini mtoto huyo hampi msaada.
Chanzo: ITV Tanzania
Hivi Wazazi wa Kiafrika mnapotaka Watoto...
Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika.
Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi.
Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na farasi.
Ulaya na Marekani walipo ingia Industrial revolution ,sasa nguvu kazi iliyotumika kwa miaka...
Soko huria, hasa hili soko huria la kulazimishana ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi maskini.
Kanuni ya soko huria ni kuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi na nchi. Watetezi wake wanadai kuwa ni njia rahisi ya kuleta maendeleo. Lakini kiukweli siyo kabisa. Nchi zote zilizoendelea zilikuwa...
Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya...
Yaani mtu anakula kibano heavy lakini wanakuambia kwamba ana cooperate vizuri tu hadi anakiri kosa
UKISIKIA MANYANI MEUSI NDIYO SISI SASA, SHIT HOLE COUNTRIES
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.