Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho.
Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
Kitabu Cha Zero to Legacy: Safari ya Kijana wa Kiafrika.
Mwandishi: Robert Heriel
+255693322300
Oooh! Taikon andika vitabu! Ooh! Achana na stori za abunuasi sijui riwaya. Ndugu zangu, sisi wengine nusu ya maisha yetu tunaitumia kuandika na kusoma. Kwetu kuandika ni Hobby. Nikiacha Maneno...
Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro.
"Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu.
Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika.
Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa.
Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana.
KARIBUNI:
Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014.
Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere.
Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet.
Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
Utasikia Bondeni au Afrika Kusini imeendelea. Mara Kenya iko juu sana ukanda huu na upuuzi mwingine mwingi.
Ukiziangalia nchi za kiafrika kwa makini, zote ni wagonjwa wa kiitwacho coloniality au mabaki na makandokando ya ukoloni.
Ni sawa na wadudu walio kwenye mfuko wa plastiki wakigombania...
Habari za Leo!
Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako.
Je ni Negative au positive?
Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
Sijui tuko hatua gani kwenye diagram hii
FlipFact of the Day:
To this day, the topic of human evolution remains hotly debated.
Those who support the idea of natural selection typically find themselves in opposition to those who believe that humanity was purposely, intelligently designed by...
Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado.
Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa.
Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa...
Afrika imejaliwa raslimali zote kuanzia ardhi, watu, hali nzuri ya hewa isipokuwa haikujaliwa viongozi wenye akili na visheni.
Japo tukiambwa ukweli tunacharuka na kujitutumua wakati tu wa hovyo, kuna kitu kinakosekana. Je ni kitu au vitu gani vinakosekana kwa Afrika kiasi cha kugeuka hovyo...
Kama ulikuwa hujui tu, uraibu wa urembo bandia kwa mwanamke wa kiafrika ni ugonjwa kamili wa kiakili kwa sasa.
Hapa ninazungumzia ile hali ya kubadili rangi na unyororo wa ngozi (wanaita kuglow!), kupashika kucha bandia, nywele bandia (rasta, weaving nk), kope bandia, kupiga jeki matiti...
Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani.
Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba.
Nywele zinavyovutwa...
Houth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa.
Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa kufa ambapo gereza hilo lilikuwa likiwashikilia wahamiaja hao zaidi ya mia moja.
Dozens killed in US...
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
Wakuu mimi sio mchumi ila nimeumia akili za kawaida
Wakati wa utawala wa Clinton kulianzishwa ushirikiano kitu kinaitwa Goa yaani ushirikiano wa USA na nchi zinazoinukia kiuchumi za africa na asia
Hii ilisababisha viwanda vingi kuanzishwa hasa vya nguo vikawa vinatengeneza nguo na kuingiza...
BOB MARLEY:-
"How can you be sitting there
Telling me that you care
That you care?
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In every way, in everywhere
Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!)
We're the survivors
Yes, the Black survivors"
WAKE UP AFRIKA!
"How long shall they kill our prophets while we stand side and look" By Bob Marley
-Biko
-Nkuruma
-Sankara
-Samora
-Nk
WAKE UP AFRIKA WAKE UP BLACK PEOPLE THIS IS YOUR TURN!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.