UWEZEKANO WA KUBAMBIKIZIWA KESI.
Na Bashir Yakub, Wakili
+255 714 047 241.
Hariri Mohammed Hariri na mke wake Muna Said Omary walikamatwa tarehe 1 Machi 2018 na kushitakiwa kwa kukutwa dawa za kulevya aina Heroin Gram 214.11.
Katika kesi hiyo ya Uhujumu uchumi Namba 2/2020 ushahidi...