Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.
Leo nimefuatilia kesi ya Lissu kuanzia Alfajiri mbaka Wasalamu, na nimepata picha kwamba Taifa letu linapaswa kupata Katiba mpya yenye Mamlaka ya Usimamizi wa Misingi yake. Kitu kikubwa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye...
Nimesoma Utetezi wa Tundu Lissu yeye ni wakili nguli pia ila naona ameshaziona dalili zote hii kesi ananyoa
Bila kuathiri proceeding ya kesi ameburuzwa sana na akapoteana na binafsi nimesoma hukumu pamoja na Proceedings hasa za jinai za Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaani sijawahi kuona...
Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za...
Nadhani walio wengi mnakumbukumbu na aina ya kesi aliyohukumiwa nayo Babu Seya na familia yake
Kesi ile haikuwa ya uhaini kama ya Tundu Lisu, lakini iliendeshwa kimezengwe mizengwe kama ya Tundu Lisu
Ilivuta hisia za wengi kama hii ya Tundu Lisu,
Ushahidi wa kesi ile uliohusisha watoto wadogo...
Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
NO CASE TO ANSWER
kwa msaada wa AI
Wote tuliskilza ushahidi wa prosecution, je ulikidhi vigezo hivi kuruhusu kesi iendelee?
Katika kesi maarufu ya R v Galbraith (1981), mahakama ilitoa mwongozo unaotumiwa na jaji (au mahakama) kuamua kama upande wa mashtaka umeshindwa kabisa kuleta ushahidi...
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.
Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a...
Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba...
Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli.
Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi.
Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake?
Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
JE WAJUA?
KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?
Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria...
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na ili isionekane kuwa serikali alimbambikia kesi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo DPP ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja kubwa wahafidhina kuwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi...
Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
baada
court
dsm
full
hana
high
high court
huru
imwachie huru
jamhuri
kesikesi ya kujibu
kufunga
kujibu
kutoka
lissu
mahakama
tundu
tundu lissu
ushahidi
wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.