kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ina maana mahakama zote Dar zimefungwa kwa sababu za kiusalama? Au ni ya Lissu tu?

    Acheni usanii na upumbavu. Tenda haki nyie watu. Kama hamna hoja, muachieni Lisu Mtu wa Mungu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunaelewa kuwa serikali imepanga kuwakamata na kuwapa kesi ya uhaini viongozi wetu ili chama kikose viongozi na kupoteza uelekeo

    Kupitia taarifa yao kwa umma CHADEMA wameonesha masikitiko yao na hofu kufuatia kukamatwa kwa viongozi wake wa juu. === TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuufahamisha umma kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemkamata Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimeumana kesi ya wahaini: Mahakama yaiamuru Serikali kutaja uraia wa watuhumiwa

    Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania. Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani. Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  7. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hivyo ndivyo, Binafsi naomba niunganishwe na Niffer pamoja na wenzie kwenye Kesi ya Uhaini!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs! Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni muda tu kesi mahakama za kimataifa zinakuja wajiandae

    Kuanzia Raisi Samia, IGP, na wakuu wa polisi wa mikoa wajiandae kwa kesi kubwa itakayo kuja huku mahakama ya kimataifa ya Netherlands ni muda tu sasa lakini ushahidi upo wa kutosha
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha

    Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha. Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama leo Oktoba 28

    Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea. Soma pia: Kesi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya mtangazaji aloyce nyanda na Aron Karugumjuli haijapanda Tanzlii mpaka sasa?

    Siku 3 zilizopita tulisikia kwamba mtangazaji na mwandishi wa habari wa star tv ameshinda rufaa yake dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa nyamagana Aron Karugumjuni lakini mpaka sasa kwenye mtandao wa tanzlii kesi hiyo muhimu ya deformation haijapandishwa. Tunaomba kujua tatizo ni nini Mahakama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga tangu alivyodanganya mahakama eti video ilichezwa Kisutu akapotea jumla

    Tusiwe wepesi wa kusahau, maana yale yalikuwa ni mauaji makubwa
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi abebwa msobemsobe mahakama kuu Dar akidaiwa kupiga kelele wakati kesi ya Lissu ikisubiriwa kuanza

    Mwananchi alikitolewa katika mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025, baada ya kudaiwa kuzungumza kwa sauti kubwa ndani ya mahakama wakati kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ikiendelea
  17. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Wakati napata chai huku napitia mashauri ya mahakamani nimekutana na kesi mbili za “ITEL EAST AFRICA LTD”

    Jioni hii wakati nazurura zurura mtandaoni basi nimekutana na kesi mbili zilizohusiana na kampuni ambayo kwa sasa imepata umaarufu sana mjini: ITEL. Soma attachments. Kwa wale wenzangu na mie wa you know you know basi nimekuekea summary hapa chini kutoka kwa LLM, ChatGPT. -————————————————————...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni jaji ama wakili atajitoa kwenye kesi ya Lissu?

    Otea ni jaji au wakili yupi atajitoa kwenye kesi ya Lissu? Ni swala tu la muda Kasikilizeni wimbo wa siku hazigandi.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina akwama Ugombea Urais ACT Wazalendo, Mahakama yatupilia kesi yake mbali

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema. Mpina alikuwa akipinga kuenguliwa katika nafasi...
Back
Top Bottom