Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026
SEHEMU YA PILI
Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
[Majaji wanaingia Mahakamani.]
[Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.]
WAKILI WA SERIKALI: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wa Jamhuri tupo tayari. Shauri linakuja kwa ajili ya...