kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polisi: Ndugu ni chanzo cha kesi za Ukatili wa Kijinsia kufutwa

    Afisa Polisi Jamii kutoka Mkoa wa Kipolisi Ilala Eugene Mwampondele amesema Kesi 949 kati ya 1,271 zilizopelekwa Madawati ya Jinsia katika Mahakama ya Wilaya mwaka 2018/21 zimeondolewa. Ametolea mfano takwimu za matukio ya Ukatili wa Kijinsia katika Kituo cha Stakishari pekee yameongezeka hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Mashahidi 10 kuhojiwa kesi ya Padri anayedaiwa kubaka mtoto

    Mashahidi hao ni wa upande wa mashtaka kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) dhidi ya Padri Sostenes Bahati huku upande wake ukisema utakuwa na ushahidi wa mshitakiwa kutokuwepo eneo la tukio siku ya tukio. Ushahidi huo unaofahamika kama Alibi, unahusisha mshtakiwa kujitetea kuwa alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

    Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake. Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
  5. JamiiForums Tanzania Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imewakuta na kesi ya kujibu, Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake nane katika mashtaka matatu yanayowakabili. Washtakiwa katika kesi hiyo ya Jinai namba 12/2022 ni Zumaridi, Amos Kailembo, Isaya John, Isaka Mafuru, Neema Julian, Suzana Simon...
  6. JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Tutakata Rufaa kesi ya kuondolewa wafugaji Loliondo

    Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022 ambayo ameeleza kuwa kesi yake GN 421 ya mwaka 2022 bado ipo Mahakamani. Kambole amesema wameona...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali kesi ya Wamasai kuondolewa Loliondo

    Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu. Walalamikaji wa Wamaasai walitaka Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) iizuie serikali ya Tanzania kuwaondoa...
  8. JamiiForums Tanzania Moshi: Afungua kesi kuzuia kadi na michango ya harusi

    Mfanyabiashara maarufu wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, James Mushi amefungua maombi madogo akiiomba Mahakama ya Wilaya hiyo itoe zuio la kusitisha usambazaji wa kadi na michango ya harusi ya mtu anayedaiwa kutumia jila lake na familia yake kuchangisha michango hiyo. Akiwasilisha maombi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yaajiri CEO Mpya mwenye 'Lundo' za 'Kesi' mbalimbali za 'Uhalifu' na 'Hatari' Nyinginezo

    CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA. Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali. 1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲 - Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini...
  10. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

    Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/ chairman Moise katumbi na...
  11. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  12. JamiiForums Tanzania Ziko wapi trilioni 360 za Watanzania? Je, ni kesi ya madai halali au madai hewa? Je, mawaziri wa fedha wanatosha au hawatoshi?

    ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI? Leo 12:15hrs 23/09/2022 Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya...
  13. JamiiForums Tanzania China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  14. JamiiForums Tanzania Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
  15. JamiiForums Tanzania Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  16. JamiiForums Tanzania Mchora katuni Oppter afutiwa kesi, akamatwa tena na polisi

    TAARIFA YA AWALI. Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia hatiani kwa kukiuka amri ya Mahakama

    Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyowataka kuwarejesha kazini madaktari 33 waliokuwa wameondolewa miezi 40...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya mwanafunzi wa Law School of Tanzania aliyeomba iendeshwe LIVE yapangiwa Majaji

    Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mwanafunzi wa Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania – LST), Alexander Barunguza, ambayo ameiomba mahakama iruhusu mwenendo wake utangazwe mubasahara kwenye vyombo vya habari, imepangiwa jopo la majaji watakaoisikiliza. Akizungumza na Mwananchi...
  19. JamiiForums Tanzania Lindi: Ahukumiwa maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka nane

    Stevin Malikanga (48) Mkazi wa Kijiji cha Simana amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane. Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yakana kuendeshwa na DPP kesi ya Sabaya

    Kesi namba 2 ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkali Lengai Ole Sabaya imetajwa tena leo katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi mbele ya hakimu mfawidhi Salome Mshasha ambapo hoja mbalimbali zimeibuliwa ikiwemo ya DPP kuendesha mahakama kama anavyotaka yeye. Hoja hiyo imeibuliwa na wakili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…