Peter Madeleka aishinda Jamhuri kesi ya Pre Bargain

Peter Madeleka aishinda Jamhuri kesi ya Pre Bargain

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,227
Reaction score
37,074
N.B Moderator Jamiiforums title isomeke PLEA BARGAIN BADALA YA PRE BARGAIN

08 October 2026
Mahakama ya Rufani
Arusha
Tanzania

KESI YA PLEA BARGAIN YA PETER Madeleka ILIKOSEWA, MAHAKAMA YA RUFANI YATOA HUKUMU YA KIHISTORIA

Peter Michael Madeleka dhidi ya Jamhuri (Rufaa za Jinai Zilizounganishwa Nambari 595 na 596 za 2023) [2026] TZCA 1219 (8 Oktoba 2026)


View: https://m.youtube.com/watch?v=CxmwRWkVUCE

Katika Rufaa ya Jinai Namba 595/2023, Peter Michael Madeleka dhidi ya Jamhuri, Madeleka alipinga amri ya kesi hiyo kusikilizwa upya, akidai tayari alikuwa amehukumiwa...

Leo tarehe 8 Oktoba 2026 Mahakama ya Rufani Tanzania -Arusha, IMEKUBALI Rufaa ya PETER MADELEKA na kusema kwamba; Plea Bargain ILIKOSEWA. Imekataa Kesi dhidi ya Madeleka KURUDIWA na imeamuru MAHAKAMA na DPP WARUDISHE PESA ZA Madeleka...

Quashing plea‑bargain proceedings without vacating the conviction risks double jeopardy; conviction and sentence must be expressly set aside...

SOMA HUKUMU YA PLEA BARGAIN YA MAHAKAMA YA RUFANI


JUDGMENT OF THE COURT
5th & 8th October, 2026
SEHEL, J.A,:
Mr, Peter Michael Madeleka and his co-accused, but not a party to this appeal, were arraigned before the Court of the Resident Magistrate of Arusha at Arusha (the trial court) with ten counts ; one count of leading organized crime, three counts of forgery, one count: of refusal to be taken samples of the handwriting and two counts of money laundering. The co-accused was also separately charged with three counts of abuse of position. In the course of proceedings, the appellant
and his Coaccused initiated a plea-bargain negotiations...

Page 1

Source : https://tanzlii.org/en/akn/tz/judgment/tzca/2026/1219/eng@2026-10-08
 
..serikali haitamlipa.

..Chadema hawajarudishiwa pesa zao mpaka leo, pamoja na kwamba walipata ushindi ktk mahakama ya rufani ktk kesi ya Akwilina.
 
Back
Top Bottom