kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama iliamuaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Eli Lilly na Novo Nordisk zinazozalisha dawa za GLP-1 zafunguliwa kesi Mahakamani zikidaiwa kuchangia kupoteza uwezo wa kuona

    Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Aloyce Komba: Lissu ana kesi nzuri, mashahidi wa IGP, CDF na DCI walikuwa wa kuongeza tu

    Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission , tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustin Ramadhani aliwahi kusema kesi zote huwa zinaendeshwa sehemu mbili, Mahakamani na nje ya MAHAKAMA

    Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA. Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
  7. JamiiForums Tanzania Mwaipopo anajadili kesi iliyopo mahakama ya Tundu Lissu, hii itaathiri hukumu yake

    Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe Majaji nao wanapita mitandaoni wanaweza kumezwa na hii pressure na kutoa hukumu ya kumnyonga Lissu ili akina...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana. Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa. Wanasema Dunia...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Majaji wanaweza kuwa na hukumu yao na sisi JURY tukawa na hukumu yetu.

    Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury. Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

    Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu akihukumiwa atakata rufaa na endapo kesi ikienda kwa jaji Mruma ataitupilia mbali

    Mashabiki wa Lissu pungueani midomo
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya makamanda kuikwepa kesi sasa naona taswila ya kesi

    Wandugu Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana . Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi. Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ??? 1.serikali vs Lissu 2.serikali vs chadema 3.ccm vs Lissu 4. ccm vs chadema 5.wanzibara vs...
  15. JamiiForums Tanzania Carrymastory, Afunguliwa Kesi ya Madai ya Shilingi Milioni 600 na Hamisa Mobetto

    Mwandishi wa habari za burudani nchini Tanzania, Carrymastory, ameweka wazi kuwa amefunguliwa kesi ya madai ya shilingi milioni 600 na mwanamitindo na mfanyabiashara mashuhuri, Hamisa Mobetto. Kesi hiyo imefunguliwa na mwanasheria pamoja na meneja wa Hamisa Mobetto mwezi Septemba 2026. Madai...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kununua kesi ya Uhaini ya TAL

    Nawaza tu ni kama kesi inalipa ile inaweza pata mnunuzi..
  18. JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high coooooourt Majaji wameingia. Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Katunga: Nina mpango wa kumfungulia kesi wasira ya uhaini

    Wasira kama tundu lisu.. anaweza kufunguliwa kesi kwa kutamka au kusema 1. Jamii haiji kuwa na usawa wakati napambana ikifika wakati wangu kuongoza nitaleta usawa 2. Kuvunja Muungano https://youtu.be/0BKTICQ09lA?si=_xfRQtJTXPiyGXhz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…