kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Septemba 18, 2025

    Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo September 16, 2025 imehairisha Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi September 18, 2025 ili upande Jamhuri uanze kujibu hoja za Lissu ambazo ameiomba Mahakama imuachie huru kutokana upungufu wa hati ya mashikata. Katika kesi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji: Hakuna amri ya Polisi kufukuza wafuasi wa CHADEMA Mahakamani katika Kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali hoja iliyokuwa umewasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ambaye alidai kuwa Polisi kupitia amri ya ZCO waliwatoa watu (viongozi na wafuasi wa CHADEMA) waliofika Mahakamani...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wafuasi wa CHADEMA wasusa kusikiliza kesi ya Lissu baada ya wenzao kuzuiwa kuingia ndani ya Mahakamani

    Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii. Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali asubuhi hii Mahakama Kuu Kesi ya Lissu

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi hii ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanaonekana wakiimarisha ulinzi Ikimbukwe kuwa, pamoja na mambo mengine kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA abebwa mzobe mzobe wakimzuia kuingia mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo. PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu. Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa Septemba 15, 2025

    Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake. Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Tundu Lissu kutolewa Septemba 15, 2025

    ================ Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Rugemeleza Nshala hii leo Septemba 11, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameiomba Mahakama kumuachia huru kwa madai kwamba yale yote yaliyofanyika katika Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya kujiuliza: 1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA waomba kuonana na jaji ''Kama hawataki, sisi tunawaacha wao wabaki na hiyo kesi''

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo limeonekana kukataliwa na wahusika waliotakiwa kuwapa kibali viongozi wa CHADEMA. Licha ya kukataliwa huko...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu nyaraka kwenye kesi ya Lissu kujulikana leo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya muendelezo wa kesi yake ya uhaini. Kurudi kwa Lissu leo Septemba 9, kunatokana na mapingamizi aliyoyaibua jana Septemba 8, mbele ya Jopo la Majaji watatu Jaji Dunstan...
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aibukia Mahakama kuu kesi ya Lissu ikianza kuunguruma leo Septemba 8, 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Mhe. Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ambapo leo itaanza kusikilozwa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Jay, Mnyika, Lema na mabalozi na wanachama wamefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa. Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi mashahidi watavyotoa ushahidi wao kesi ya Lissu

    Hebu tucheke kwanza! Hii kesi gani kama si aibu tupu? Mnataka kumshtaki Lissu kwa nia tena ya watu wengine eti walihamasika wakati hakuna kitendo chochote? Kuweni na aibu kidogo @judiciarytz hebu DISMISS this case urgently! Hakimu Kiswaga ulitaka livestream izimwe kwa sababu ulijua madudu haya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama inalalamikiwa kukosa kutenda haki kesi ya Lisu

    Kama hatuna mahakama tuna nini?
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Serikali hamishieni kesi ya Lissu hukohuko Gerezani Ukonga ijulikane moja

    Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu. Si mpenzi wa CHADEMA. Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli. Sasa tunaambiwa: -mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa - utangazaji wa kesi sasa ni siri -ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu. Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa...
Back
Top Bottom