kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Anachotafutiwa Lissu kwenye kesi yake ya uhaini ni kumtafutia hukumu itakayomzuia asishiriki tena kugombea nafasi yeyote ya uongozi wa kisiasa

    Hii kesi ya uhaini ya Lissu ni drama tu zinazotengenezwa na serikali na viongozi wake. Ukweli ni kwamba hadi sasa serikali ya CCM inamuona Lissu kuwa tishio kubwa sio tu la kuiondoa CCM madarakani, bali pia kuwawajibisha kisheria wale mafisadi wote ambao kupitia nafasi za uongozi wamefuja fedha...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Je tuendelee kuheshimu hukumu za mahakama zetu ? Kesi ya Lissu itatupa jibu

    Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest . Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini akaibukia Ikulu. Kwa hiyo mahakama unaweza kua muhimili ambao unatumika kama fimbo ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kupitia Kesi ya Lissu, unaiona Nguvu ya Watu wajinga wakiwa na Mamlaka na Nguvu!!

    Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili??? Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!. Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale?? Kwa Ufupi, Tunataliwa...
  5. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imetufundisha Nini.? | Kwa Nini Haki, Demokrasia na Uchaguzi Havipaswi Kuwa Kapu Moja na Mwenye Maslahi ya Kisiasa

    Leo nimefuatilia kesi ya Lissu kuanzia Alfajiri mbaka Wasalamu, na nimepata picha kwamba Taifa letu linapaswa kupata Katiba mpya yenye Mamlaka ya Usimamizi wa Misingi yake. Kitu kikubwa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

    “Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa. Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je Kuna sababu zozote za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta kesi ya lissu mpaka Sasa ?.

    Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ya Uhaini itaishiaje kwa utabiri na mwenendo wa kesi ulivyo?

    Utabiri wako ni upi kuhusu hii kesi ya Serikali dhini ya Tundu Lissu kwa kosa la uhaini ?
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wa serikali wamepaniki baada ya rais Samia kutajwa kama shahidi kwenye kesi ya Lissu?

    Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

    Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi 👇 Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

    Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho. Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni. 👇
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kwenda mahakamani kwenye kesi ya Lissu. Msiumize kichwa, yeye ni kada na kibaraka wa CCM

    Hakutaka Chadema iwe na misimamo kama hii ya Heche na Lissu. Hapo alipo anafurahia na kuchekelea moyoni. Maana alishazoea siasa za biashara na kuitumia Chadema kama mtaji.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jamani kitendo cha mawakili wa serikali kushindwa kumalizia mashahidi wao 30 kwenye kesi ya Lissu inamaanisha nini?

    Jamani kitendo cha mawakili wa serikali kushindwa kumalizia mashahidi wao 30 kwenye kesi ya Lissu inamaanisha nini?
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Jamhuri yafunga ushahidi kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, Mahakama sasa kusikiliza hoja ya 'No Case to Answer'

    Ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umefungwa rasmi leo Agosti 17, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameiambia mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu; Mashihidi upande wa mshitakiwa tuanze na Samia

    Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu, mawakili wa serikali wabadili gia angani, wafunga ushahidi tofauti na ahadi yao ya kuileta mashahidi waliokuwa wamebaki

    Ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umefungwa rasmi leo Agosti 17, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameiambia mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je kudondoshwa Kwa mawakili wa Serikali takribani 10 na Lissu akiwa peke yake pale court of Appeal ina maana gani?

    Je, kudondoshwa Kwa mawakili wa Serikali takribani 10 na Lissu akiwa peke yake pale court of Appeal ina maana gani? Wadau swali langu ni hilo
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania It's Over..! Ni aidha DPP aendelee kupoteza muda High Court (ndio lengo) bila kuwa na ushahidi (video ya JamboTV) au abwage manyanga..!

    Mkiambiwa Lissu ni Profesa wa Sheria muwe mnaelewa... Hii kesi ya Tundu Lissu ingekuwa inasikilizwa kwenye mahakama za wenzetu kama Marekani au UK ile siku ya kwanza tu kusomwa mbele ya hakimu/judge, basi ingetupiliwa mbali... Yaani angeshtakiwa leo, kisha anatoa somo la sheria mahakamani na...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka amshukia Wasira: "Kumshauri Rais kuangalia upya kesi ya Lissu, sio kuiamuru Mahakama"

    Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa Rais hawezi kuingilia au kutafuta ufumbuzi wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kwa sababu...
Back
Top Bottom