Rostam Aziz aliposema hakuna Mwekezaji anayeweza kuja kuwekeza mabilioni yake hapa nchini huku akijua kuwa wakati wa mgogoro kesi itapelekwa Kisutu ambapo Mahakimu..........
Watu wa mahakama walifura na kuja juu sana hadi kumfanya ndugu Rostam Aziz kuamua kuomba radhi ili yaishe.
Kesi hii ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka.
Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani?
Je ni haki kwa mahakama kuharakisha kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa kesi ya Lissu huku tukiacha...
Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama sio binaadamu ni wanyama wenye uchu wa kumtafuna kabisa. !! Tundu Hana hata uwezo wa kukimbia...
Hivi tanzania Kuna wanaume kweli wameshika tundu lissu anaewapigania mwezi wa tatu mumekaa ndani wanawaletea muchezo ya tauni na nyie munakubali Kila siku munatawaliwa na wanawake munabaki kuongelea mitandaoni tundu lissu kakonda Kwa ajili yenu watanzania eti munasema Muna amani amani Gani...
Mtu huyo hakuwa na sare za Askari Magereza na wala hakuonekana kama Karani wa Mahakama.
Katika Hali ya sasa ambako kuna Uvumi wa Tundu Lissu kutiliwa Sumu, ni vema hawa watu wasiohusika wasimkaribie Mtuhumiwa huyu wa Uhaini, hatuna imani nao hata chembe.
Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yalipaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. Wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na...
Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!
Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.
Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya...
Kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu imefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana
Iwapo DPP ataamua kuendelea na kesi, taratibu za kuhamisha shauri zitaanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, na kesi itapelekwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa.
Mahakama Kuu...
ITV mnasitahili hata kutuwekea akaunti namba tuwachangie pesa ya uendeshaji hata kama mnajiendesha kibiashara hata wale jamaa wa dini wanatuwekea akaunti za michango wakati ni wafanyabiashara 100%.
Lissu amejenga hoja nzito mahakamani, amezungumza ameibana serikali/Jamhuri katika vipengele almost vyote vya msingi kuwa.
1. Kama ushahidi umekamilika twende mahakama kuu - Serikali inapiga danadana
2. Kama ushahidi haujakamilika- Serikali haijaomba muda wa kufanya uchunguzi zaidi.
Kwa upande...
Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.
Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa.
Nini tatizo hapo hadi umakini wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.