kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

    Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo. Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mmoja azimia baada ya kusikia askari magereza wamegoma kumpa Lissu chakula kinyume cha sheria

  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama wa CHADEMA azimia mahakamani baada ya Lissu kudai kunyimwa chakula

    Mwanachama wa CHADEMA azimia ndani ya Mahakama baada ya kumsikia Mwenyekiti wake, Tundu Lissu akidai kunyimwa chakula Mahakamani leo Februari 12, 2026. Kuhusu mwenendo wa Kesi Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika Kesi ya...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

    Wakuu Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone Fuatilia mwenendo wa kesi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Kuanzia leo Februari 11, 2026, CHADEMA tupo huru kutumia ofisi za chama na mali zetu zote

    https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, wanafaidika na kufungwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu

    Kesi ya lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

    Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu na hatima ya maridhiano

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini mwenyewe alisema ahadi yake ya kuunda tume ya maaridhiano itasubiri kwanza Tume aliyoiunda ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi ya Lissu ni ya uongo aachiwe bila masharti yoyote

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametoa wito wa kumuachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini.
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Picha: Kesi ya Lissu imehudhuriwa na watu mbalimbali wengine kutoka nje ya nchi

    Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mchange: Heche ananufaika na kesi ya Lissu ndio maana haifiki mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi. Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche anadaiwa kuzuia kwa makusudi jitihada za kumaliza kesi inayomkabili Lissu ili aendelee kubaki na...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025 Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi abebwa msobemsobe mahakama kuu Dar akidaiwa kupiga kelele wakati kesi ya Lissu ikisubiriwa kuanza

    Mwananchi alikitolewa katika mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025, baada ya kudaiwa kuzungumza kwa sauti kubwa ndani ya mahakama wakati kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ikiendelea
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 20; Jamhuri kuleta utetezi baada ya Lissu kupinga vielelezo vya ushahidi

    Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi. --- Upande wa...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Lissu asema ana degree ya Refrigerator ana air conditioner

    Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge Police mbona mnaajiri mabunda. Sasa Kwa jitu ujinga kama hili mtashinda kesi Gani?
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Dkt. Masoud: Mahakama ichukue hatua za kinidhamu kwa mawakili waliopigana Mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Mwanasheria na Mwanafalsafa wa Sheria, Dkt. Khamis Masoud, ameshauri Mahakama kuchukua hatua kali dhidi ya mawakili waliodaiwa kufanya fujo wakati wa kusikilizwa kwa kesi inayomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu. Akizungumza Oktoba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Dkt. Masoud...
Back
Top Bottom