kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Situation Overview, kilichojili leo kwenye Kesi ya Lissu

    Kuna kelele za kawaida kwa wanaoitazama kwa juu uso wa kesi hii, lakini ndani ya frequency ya Court Chamber Alpha, operesheni hii imevuka kiwango cha kesi. Kilichoonekana leo ni intel chessboard upande mmoja unacheza na maswali, mwingine na ukimya. Kila swali lililotoka kwenye midomo ya...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Kesi ya Lissu itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 6 - 24 Oktoba kisha kuendelea hadi Novemba 12

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake Tundu Lissu itaanza kusikilizwa kuanzia tarehe 6 Oktoba 2025 hadi 24 Oktoba, kisha kuendelea tena tarehe 3 hadi 12 Novemba 2025. Kwa mujibu wa chama hicho, mashahidi wa upande wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachoendelea Mahakamani kwenye Kesi ya Tundu Lissu, leo Septemba 22, 2025

    Hali ilivyo kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 22.2025. Ambapo Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena Mahakamani hapo leo. Mahakama kupitia jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Makaramba ashangazwa na Polisi kusema watu wamejaa Kesi ya Lissu badala ya uongozi

    Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama kuu. "Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama imejaa au ni uongozi wa Mahakama ndiyo unapaswa kusema pamejaa, na kujaa maana yake ni nini?"
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama Kuu kutoa uamuzi mdogo Septemba 22

    Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu Jumatatu ya tarehe 22 Septemba 2025. Uamuzi huo unakuja kufuatia Lissu kuweka mapingamizi yaliyokuwa yanahusiana na...
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Septemba 18, 2025

    Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo September 16, 2025 imehairisha Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi September 18, 2025 ili upande Jamhuri uanze kujibu hoja za Lissu ambazo ameiomba Mahakama imuachie huru kutokana upungufu wa hati ya mashikata. Katika kesi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji: Hakuna amri ya Polisi kufukuza wafuasi wa CHADEMA Mahakamani katika Kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali hoja iliyokuwa umewasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ambaye alidai kuwa Polisi kupitia amri ya ZCO waliwatoa watu (viongozi na wafuasi wa CHADEMA) waliofika Mahakamani...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wafuasi wa CHADEMA wasusa kusikiliza kesi ya Lissu baada ya wenzao kuzuiwa kuingia ndani ya Mahakamani

    Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii. Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali asubuhi hii Mahakama Kuu Kesi ya Lissu

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi hii ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanaonekana wakiimarisha ulinzi Ikimbukwe kuwa, pamoja na mambo mengine kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA abebwa mzobe mzobe wakimzuia kuingia mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo. PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
  12. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu. Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
  13. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa Septemba 15, 2025

    Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake. Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Tundu Lissu kutolewa Septemba 15, 2025

    ================ Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Rugemeleza Nshala hii leo Septemba 11, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameiomba Mahakama kumuachia huru kwa madai kwamba yale yote yaliyofanyika katika Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya kujiuliza: 1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA waomba kuonana na jaji ''Kama hawataki, sisi tunawaacha wao wabaki na hiyo kesi''

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo limeonekana kukataliwa na wahusika waliotakiwa kuwapa kibali viongozi wa CHADEMA. Licha ya kukataliwa huko...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu nyaraka kwenye kesi ya Lissu kujulikana leo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya muendelezo wa kesi yake ya uhaini. Kurudi kwa Lissu leo Septemba 9, kunatokana na mapingamizi aliyoyaibua jana Septemba 8, mbele ya Jopo la Majaji watatu Jaji Dunstan...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aibukia Mahakama kuu kesi ya Lissu ikianza kuunguruma leo Septemba 8, 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Mhe. Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ambapo leo itaanza kusikilozwa.
Back
Top Bottom