My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe. Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri.
Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat.
Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na...