kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  2. T

    JamiiForums Tanzania TCRA na Kesho la Polisi (15040)

    Mmekuwa mkitutaarifu kutoa taarifa kwenu kila tunapopokea message za utapeli kupitia namba yenu 15040. Nimekuwa nikiwatumia namba hizo za utapeli nami kuweka kumbukumbu. Tarehe 11 Apr 2025 nililipoti namba 0615656151 kuhusika na utapeli, cha ajabu Leo tena namba hiyo hiyo 0615656151 bado iko...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nawakaribisha wana JF kesho Pasaka

    Kesho NI siku ya Kula vitu vizuri na kushushia mvinyo Mimi Kesho nakula Ugali mlaini,majani ya kunde na hiyo kitu hapo chini 👇 JE WEWE KESHO UNATARAJIA KULA CHAKULA GANI???
  4. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

    Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa ..... Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo kias flan ya kukufurahisha yakaweka alama / kumbukumbu ya furaha ktk maisha. .... Anyway mdada alieko...
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Je, Unapanga Bajeti ya Hela Yako ya Mshahara au Unatumia Tu na Kesho Itajijua Yenyewe?

    Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara ua vibarua. Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kiuchumi, swali hili linazidi kuwa la...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tuna Tanzania/Tanganyika moja tu tusiangalie leo tuangalie kesho ya hili Taifa

    Hakuna mahali duniani chama au mtu ameweza kutawala bila kufika mwisho wengine waliuwa na kuchinja mkoa mzima bado hawakuweza kutawala milele. Tuna kipenda chama cha ccm tangu wa zee wetu na baba yetu Mwl Nyerere ila ninkwanini watanzania wamechoka na kwa nini watu wanahaha kuwa na chama...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Usikose kumsikiliza Kamanda Mchome live kesho 9-04-2025

    Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast. Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko. Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa hususani upinzani na kupinga kwa nguvu zote udikteta uchwara.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Wewe ni Shabiki wa Simba, basi kata Tiketi yako mapema, wa kumzuia Elie Mpanzu pale Al Masry, Hii tumevuka

    Kwa namna mabeki wa Al MAsry wanavyocheza na kwa aina ya uchezaji wa Elia Mpanzu Kibisawala na pacha wake KIbbu Dennis, hakyamungu waarabu kesho kazi ipo. Na kama hakutakuwa na figisu kutoka kwa jamaa yetu pale uwanjani ambaye anajifanya hana uzalendo basi kesho ni wimbo tu kuanzia nje ya...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 9 Simba-0 vs Al masry-0 Matokeo ni suluhu bila kufunguna

    Ndugu wanasimba Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao FT Simba 0 al masry 0.
  10. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

    Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania. Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: 'Leo na kesho (Watu wa Mungu hawaogopi)

    Luka 13:32 (Yesu) Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha (Herode), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
  13. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Tunjitahidi kuwa na furaha kujichanganya na watu kupunguza msongo plus JF basi ahueni inapatikna

    Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we going through. Tunjitahidi kuwa na furaha kujichanganya na watu kupunguza msongo plus jf basi ahueni...
  14. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

    Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,000/= DStv Bomba - 27,000/= DStv Family - 39,000/= DStv Compact - 67,000/= DStv Compact Plus - 116,000/= DStv Premium - 185,000/= Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza sikukuu ya Eid El Fitri kuwa kesho Jumatatu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025. Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025 imeeleza: "Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh...
  17. Amani Girls Organization

    JamiiForums Tanzania BUSTANI ZA SHULE: MBEGU ZA LEO, ZAO LA KESHO

    Waswahili wanasema, “Ukiona vyaelea, vimeundwa.” Hivyo ndivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Mnane na Kikio, Mkoani Singida wanavyoandaliwa mazingira mazuri ya kujifunza kuhusu kilimo na lishe bora. Shirika la Amani Girls (AGO) kwa kushirikiana na walimu wa mazingira na wanafunzi wa shule ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho changu cha uraia kinaisha muda kesho. Je, ndio kusema uraia wangu unaisha muda pia?

    Kuanzaia kesho naanza kuhesabika kuwa mimi sio raia wa Tanzania? Hii imekaaaje kisheria zaidi?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Ccm ni wale wale Jana Leo kesho na hata milele

    Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana wanaboresha namna ya kuifisadia hii Nchi. Kikwete si alituahidi ajira Kwa Kila kijana? Magufuli si...
Back
Top Bottom