kero

  1. JamiiForums Tanzania Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  2. JamiiForums Tanzania KERO CRDB na kero ya kuchelewesha muamala uliofanyika kimakosa

    CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.
  3. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Kero ya maji Kimara Mwisho

    Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover. atizo hili ni la muda mrefu sana toka January hadi sasa, maji tunapewa mara moja kwa wiki yaani Jumatatu tuu. Hapa toka wiki...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yadi za malori Temeke zimekuwa kero, magari yanaziba njia, yanakata umeme, maafisa wa TANESCO wakija 'wanapozwa'

    Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua. Barua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

    Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero. Mda mwingine inapita hadi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi kamwaga kifusi, hajakisambaza hapa Pongwe - Tanga huu mwezi wa tatu sasa, tunateseka

    Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za kusambaza tunaomba msaada liwafikie wahusika. Barabara imezibwa na imekuwa kero kwa Watumiaji wengi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tarime: Ajira Mpya 2024 (Maafisa kilimo, Idara ya utawala) hatujalipwa fedha za kujikimu mpaka sasa 2026

    AJIRA MPYA 2024 HÀLMASHAURI YA MJI TARIME HATUJALIPWA FEDHA ZA KUJIKIMU.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji Uyole, Nimeilipa, huduma hakuna!

    Fichua uovu: Uyole, jimbo jipya la Tulia. Nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji safi tangu mwezi wa nne, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo. Kila ninapofuatilia, naambiwa vifaa bado havijapatikana, niwasubiri hadi vitakapokuja. Kinachoniumiza ni kwamba ninatumia gharama kubwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji Njiro (Arusha), wiki 2 bila huduma! Tukiwaita AUWSA wanatuzungusha

    Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari. Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya foleni NATTA Mwanza, mistari ya Zebra nayo imefutika, ni kero hasa asubuhi

    Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kanisa (El Bethel Church) lipo katika makazi ya watu, wahusika wanaweka muziki kwa sauti ya juu inakuwa kero

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na vibali kutoka mamlaka husika. Kanisa hili limekuwa na ibada zisizo na mpangilio na kuweka music kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watafiti wa Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) wapanga kuja na mwarobaini wa kero ya Maji Dar na Pwani

    UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani. Hatua hii muhimu ya WRWB ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya kwanza...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya muundo wa ustawi wa jamii ndani ya halmashauri

    Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kero soko kuu la vitunguu la kimataifa singida

    1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake 2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Kuna kero sana kwenye hii Medical council of Tanganyika(MCT), chama kinachosimamia madaktari wa nchi hii kila mwaka tunalipia leseni laki moja na elfu hamsini, lakini hakuna cha maana tunachopata Sasa hivi mtu unalipia lakini wanashindwa kuhuisha leseni ukiwapigia simu hawapokei muda mwingine...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara

    Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja jioni, yaani umeme unaweza kukatika hata mara 50 kwenye saa moja. Tumeshawasilisha kero hii Tanesco kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani MOROGORO wananyanyasa wananchi

    Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali ya kijiji na kwenye shughuli za maendeleo ambazo ni kusafisha barabara ambazo zinafanyika kila siku...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchango wa Lazima wa Mwenge ni kero

    sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa. Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi Ya Basi Msamvu Morogoro inalipisha pesa ya kuingia hata kama una tiketi

    Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini. Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi Kuingia Ndani Mpaka Alipie Tzs 300/= Kiingilio Manispaa Ya Morogoro Hata Kama Mnakusanya Mapato Ila Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…