kero

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakusanya taka Mbeya baadhi hawatoi risiti

    Kuna baadhi ya wakusanyaji pesa za taka wamekuwa na tabia ya kutotoa risiti baada ya kupewa pesa za taka. Takribani miezi mitatu mfululizo wakusanyaji pesa wanakuja na daftari ( counter book) wanaandika majina Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa makusanyo ya pesa za ushuru wa taka Hili...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji machafu mitaani, mfano mzuri ni hapa Buguruni

    Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi. Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama. Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni. Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji

    Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu

    Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na Salama wenye gharama ya Shilingi Milioni 192.8. Baadhi ya Wanufaika wa Mradi huo akiwemo Veronica...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

    Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    ๐’๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐š ๐ก๐ž๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฃ๐š๐ฆ๐ข๐ข ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐•Ž๐•’๐•Ÿ๐•’๐•—๐•ฆ๐•Ÿ๐•ซ๐•š ๐•จ๐•–๐•Ÿ๐•˜๐•š ๐•จ๐•’ ๐•ž๐•จ๐•’๐•œ๐•’ ๐•จ๐•’ ๐•œ๐•จ๐•’๐•Ÿ๐•ซ๐•’, ๐•™๐•’๐•ค๐•’ ๐•จ๐•’๐•๐•– ๐•จ๐•’ ๐•œ๐• ๐•ซ๐•š ๐•ซ๐•’ ๐•’๐•—๐•ช๐•’, ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•”๐•™๐•’๐•Ÿ๐•˜๐•’๐•ž๐• ๐•ฅ๐•  ๐•œ๐•ฆ๐•“๐•จ๐•’ ๐•œ๐•’๐•ฅ๐•š๐•œ๐•’ ๐•œ๐•ฆ๐•๐•š๐•ก๐•š๐•’ ๐•’๐••๐•’ ๐•ซ๐•–๐•ฅ๐•ฆ. โ„๐•š๐•š ๐•Ÿ๐•š ๐•œ๐•จ๐•’ ๐•ค๐•’๐•“๐•’๐•“๐•ฆ ๐•ž๐•š๐•œ๐• ๐•ก๐•  ๐•ช๐•’ ๐•ค๐•–๐•ฃ๐•š๐•œ๐•’๐•๐•š ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•—๐•š๐••๐•š๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š ๐•ช๐• ๐•ฅ๐•– ๐•ช๐•’ ๐•–๐•๐•š๐•ž๐•ฆ. โ„๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐• ๐•ก๐• ๐•œ๐•–๐•’ ๐•ก๐• ๐•ค๐•™๐•  (๐•“๐• ๐• ๐•ž), ๐•š๐•Ÿ๐•’๐•œ๐•ฆ๐•จ๐•’ ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•š๐•ค๐•™๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  9. JamiiForums Tanzania Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Makundi ya jogging na kero zao

    Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero. Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu. Yaani kila Jumamosi mnafunga barabara. Huu upuuzi wngine tuna misele yetu mnatupotezea. Ova
  11. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box. Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua. Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
  12. JamiiForums Tanzania Bando linapaa hadi kero

    Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ adi kero
  13. K

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kuondoa kero ya mabasi ya mwendokasi - Rais naomba nafasi mimi mzalendo

    Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania. Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona au kusoma jumbe mbali mbali wanazotoa watanzania au jumbe za kukushauri na nyingine nyingi za...
  15. JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  16. JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  18. JamiiForums Tanzania Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
  19. JamiiForums Tanzania Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ