The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na Salama wenye gharama ya Shilingi Milioni 192.8.
Baadhi ya Wanufaika wa Mradi huo akiwemo Veronica Bundala na Rehema Mingisi wameelezea shubiri walizokuwa wanakabiliana nazo huku Mhandisi Paschal Mnyeti Kaimu Meneja wa RUWASA wilaya ya Kahama anaeleza tija ya Mradi huo ndipo Emmanuel Cherehani Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji akisisitiza kutunzwa kwa Mradi huo.
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze