Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini.
Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda, Jumamosi, Agosti 7.
Mturuki huyo alikuwa anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa West hii leo...
Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali.
Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la kwanza la janga la kimataifa la Corona. :)
Nakumbuka mwendazake akitubeza na kutuponda. Kwamba sie...
Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
KENYA NI YA PILI DUNIANI KWA UDANGANYIFU KATIKA OLIMPIKI
Ushindi wao hau sisimui, hauheshimiki na wala kuaminika tena, maana wanajulikana kwa udanganyifu.
Daily chart
Russia and Kenya take the podium in the athletics doping contest
The shadow of pharmaceutical cheating still blights the...
Maisha ni safari ndefu sana
"Never say never"
Hatimaye vingunge wawili nchini Kenya Mh. Rais Uhuru Kenyatta na mtunduizi RAO (Raila Amollo Odinga) wanakutana huko PWANI kupanga mipango ya kwenda pamoja uchaguzi mkuu ujao.
Ni mipango ya kutengeneza mwamvuli utakaokuwa na vyama vya JUBILEE na...
Mambo yanazidi kunoga kwenye nchi hii....
The KU students are in the final steps of their project before launching their satellite to space this August.
Their launch plan received a boost from the Kenya Space Agency which offered them a Ksh1 million grant for the project. This is after the...
Dalili ya mvua mawingu, wapiganapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi rafiki mkia wa fisi.
Fadhila Mfadhili Mbuzi Binaadamu atakuudhi, akumulikae mchana usiku atakuchoma.
Atakaye hachoki, akichoka ameshapata asiyekubali kushindwa si mshindani.
Unaweza kutumia aina mbalimbali za misemo kuelezea...
Kenya has recorded 1,085 new COVID-19 cases from a sample size of 7,067 tested in the last 24 hours marking a positivity rate of 15.4%.
In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health said the total confirmed positive cases are now 205,356 and cumulative tests so far conducted are...
Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi
Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
Kanda ya Unaf washatoa mshindi anayeenda champions league ya wanawake africa , wana simba tuna matarajio makubwa simba ashinde zone ya cecafa huko nairobi next month na kukata ticket ila jana wameonyesha kiwango duni, matter of fact wameonyesha kiwango duni tangu siku ile wanacheza na twiga...
The country is trying and pushing hard to get out of the list of most dangerous countries on the earth. But nothing tangible has been achieved. Look the article below.
👇🏽👇🏽👇🏽
======
25 Most Dangerous Countries in the World
Habib Ur Rehman
In this article, we take a look at the 25...
Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache...
Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza.
Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
Juzi nimeambiwa habari za kushtusha na inabidi nizitoe kwa serikali yetu. Inasemekana kuna Mtanzania ambaye anakaa Kenya mpakani na Tanzania kwa upande huu wa Mkoa wa Mara. Huyu Mzee kazi yake kubwa ni kununua Dhahabu za kimagendo ambazo hazilipiwa kodi. Inasemekana hiki ndicho kichochoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.