Jamii ya Shona imepata uraia wa Kenya baada ya miaka 60 ya kuishi bila Uraia hapa Kenya

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache iliyopita. Ni vizuri wamepata vitambulisho maana hapa Kenya kitambulisho ndicho kila kitu. Huwezi hata kutumia Mpesa bila kitambulisho.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom