Harun Aydin: Mfanyabiashara Mturuki Rafiki wa DP Ruto afukuzwa Kenya

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini.

Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda, Jumamosi, Agosti 7.

Mturuki huyo alikuwa anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa West hii leo Jumatatu, Agosti 9, wakati taarifa ya kutimuliwa kwake ilifichuliwa.

Akithibitisha kisa hicho, wakili wa Aydin, Ahmedinasir Abdullahi alisema alikuwa tayari kumwakilisha katika Mahakama ya Kahawa wakati alifahimishwa kuhusu kutimuliwa kwake.

Grand Mullah alizua kwamba kwa siku mbili ambazo Aydin alikuwa amezuiliwa, hakukubaliwa kumuona.

Mfanyabiashara huyo anaripotiwa kupandishwa kwenye ndege ya shirika la Uturuki mwendo wa saa kumi na moja asubuhi na kutua jijini Istanbul ambapo alipokelewa na maafisa wa usalama ili kuhojiwa zaidi.
 
Noma sana na kapewa kesi ya ugaidi.
 
Yawezekana Afrika mashariki inanyemelewa kwa kasi na wimbi ( tuhuma) za ugaidi kwani licha ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kushtakiwa kwa ugaidi hapa Tanzania, huko Kenya nako rafiki wa makamu wa Rais wa nchi hiyo mh Rutto ambaye ni raia wa Uturuki amekamatwa akituhumiwa kuwa ni gaidi.

Habari hii iliripotiwa na ITV.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Mleta mada ni bwege dunia yote. Kichwa cha habari na ulichoandika ni uharo mtupu. Nyumbu huwa mnajidhalilisha ninyi na chama chenu kirahisi sana
 
Yawezekana Afrika mashariki inanyemelewa kwa kasi na wimbi ( tuhuma( za ugaidi kwani licha ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kushtakiwa kwa ugaidi hapa Tanzania, huko Kenya nako rafiki wa makamu wa Rais wa nchi hiyo mh Rutto ambaye ni raia wa Uturuki amekamatwa akituhumiwa kuwa ni gaidi.

Habari hii iliripotiwa na ITV.

Mungu ni mwema wakati wote!
Wewe ndo umesikia leo!?
 
Yawezekana Afrika mashariki inanyemelewa kwa kasi na wimbi ( tuhuma) za ugaidi kwani licha ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kushtakiwa kwa ugaidi hapa Tanzania, huko Kenya nako rafiki wa makamu wa Rais wa nchi hiyo mh Rutto ambaye ni raia wa Uturuki amekamatwa akituhumiwa kuwa ni gaidi.

Habari hii iliripotiwa na ITV.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwa Siasa za sasa za nchini Kenya huku Uchaguzi Mkuu wao ukikaribia na Marafiki ( Maswahiba ) Wawili Uhuru Kenyatta na William Ruto wakigombana na Kuchafuana ( ila Raila Odinga akifurahia Kimoyomoyo ) natabiri 'Machafuko' makubwa kutokea Kenya na hata Ruto kuwa 'assasinated' na 'Mafia Gang' ambao Uhuru amekuwa akiwatunza na Kushirikiana nao vyema kuanzia mwaka 2007 na 2008 mpaka hii leo
 
Siasa za Kenya ni ngumu sana,kosa kubwa alilofanya Ruto ni kukubali kuachana na Odinga na hii kete Uhuru aliicheze vizuri na vyema sana!!...Ruto ana wakati mgumu sana
 
Yawezekana Afrika mashariki inanyemelewa kwa kasi na wimbi ( tuhuma) za ugaidi kwani licha ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kushtakiwa kwa ugaidi hapa Tanzania, huko Kenya nako rafiki wa makamu wa Rais wa nchi hiyo mh Rutto ambaye ni raia wa Uturuki amekamatwa akituhumiwa kuwa ni gaidi.

Habari hii iliripotiwa na ITV.

Mungu ni mwema wakati wote!
So what?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom