kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Tanzania yaipiku Kenya kuwa muuzaji mkubwa wa bidhaa nchini Uganda kwa nchi za Afrika Mashariki

    Gazeti la the citizen la leo limeriport kuwa nchi ya Tanzania imeipiku nchi ya Kenya kwa upelekaji wa bidhaa nchini Uganda kupitia bandari. Kabla ya hapo Kenya ilikuwa inaongoza kwenye nchi za Afrika mashariki kama chanzo cha bidhaa nyingi kutoka Ulaya na kupitia bandari za Kenya. Mi naamini...
  2. Harun Aydin: Mfanyabiashara Mturuki Rafiki wa DP Ruto afukuzwa Kenya

    Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini. Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda, Jumamosi, Agosti 7. Mturuki huyo alikuwa anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa West hii leo...
  3. T

    Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali. Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
  4. Licha ya mapigo ya COVID-19 kwa shughuli za kiuchumi nchini Kenya, 2020 Kenya iliuzia Tz bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya ilizoagiza

    Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la kwanza la janga la kimataifa la Corona. :) Nakumbuka mwendazake akitubeza na kutuponda. Kwamba sie...
  5. Waziri wa mambo za nje wa Kenya amewasili Mogadishu kwa mazungumzo na jirani

    Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
  6. Polisi Kenya waendelea kuua wananchi kiholela

    Note: Kenya ni nchi ya hovyo sana
  7. Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

    Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
  8. Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  9. Kenya take the podium in the athletics doping contest

    KENYA NI YA PILI DUNIANI KWA UDANGANYIFU KATIKA OLIMPIKI Ushindi wao hau sisimui, hauheshimiki na wala kuaminika tena, maana wanajulikana kwa udanganyifu. Daily chart Russia and Kenya take the podium in the athletics doping contest The shadow of pharmaceutical cheating still blights the...
  10. Hii kali, kunao huko nje bado wanajua Tanzania iko ndani ya Kenya

    Sasa sio mlima Kilimanjaro tu, hata Tanzania yenyewe ipo ndani ya Kenya, nimecheka hapa mpaka mbavu zinauma....
  11. Uchaguzi Mkuu August 2022: Je, ni zamu ya Raila Amollo Odinga?

    Maisha ni safari ndefu sana "Never say never" Hatimaye vingunge wawili nchini Kenya Mh. Rais Uhuru Kenyatta na mtunduizi RAO (Raila Amollo Odinga) wanakutana huko PWANI kupanga mipango ya kwenda pamoja uchaguzi mkuu ujao. Ni mipango ya kutengeneza mwamvuli utakaokuwa na vyama vya JUBILEE na...
  12. Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kenya kurusha chombo anga za juu

    Mambo yanazidi kunoga kwenye nchi hii.... The KU students are in the final steps of their project before launching their satellite to space this August. Their launch plan received a boost from the Kenya Space Agency which offered them a Ksh1 million grant for the project. This is after the...
  13. Wakati tunapambana na ya kwetu sio mbaya tukichungulia na Kenya kidogo, Ruto vs Uhuru

    Dalili ya mvua mawingu, wapiganapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi rafiki mkia wa fisi. Fadhila Mfadhili Mbuzi Binaadamu atakuudhi, akumulikae mchana usiku atakuchoma. Atakaye hachoki, akichoka ameshapata asiyekubali kushindwa si mshindani. Unaweza kutumia aina mbalimbali za misemo kuelezea...
  14. Kenya records 1,085 new COVID-19 cases, 25 deaths

    Kenya has recorded 1,085 new COVID-19 cases from a sample size of 7,067 tested in the last 24 hours marking a positivity rate of 15.4%. In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health said the total confirmed positive cases are now 205,356 and cumulative tests so far conducted are...
  15. Makamu wa Rais Kenya William Ruto Azuiliwa Kusafiri Kwenda Uganda

    Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
  16. Kenya has 4 times more dollar millionaires than Tanzania

    Kenya also leads East and Central Africa in the number of dollar millionaires
  17. C

    Huyu kocha ataivusha kweli Simba Queens huko Kenya?

    Kanda ya Unaf washatoa mshindi anayeenda champions league ya wanawake africa , wana simba tuna matarajio makubwa simba ashinde zone ya cecafa huko nairobi next month na kukata ticket ila jana wameonyesha kiwango duni, matter of fact wameonyesha kiwango duni tangu siku ile wanacheza na twiga...
  18. Kenya is Among of 25 Dangerous Countries on Earth

    The country is trying and pushing hard to get out of the list of most dangerous countries on the earth. But nothing tangible has been achieved. Look the article below. 👇🏽👇🏽👇🏽 ====== 25 Most Dangerous Countries in the World Habib Ur Rehman In this article, we take a look at the 25...
  19. Jamii ya Shona imepata uraia wa Kenya baada ya miaka 60 ya kuishi bila Uraia hapa Kenya

    Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache...
  20. T

    BBC: Kenya imeingia makubaliano na UK kuwapatia madaktari wake ajira

    Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza. Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…