kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Uganda deflate Kenya in U-20 World Cup qualifier

    Uganda played the perfect first half to blow away Kenya 7-2 on Saturday in the first leg of their second round Fifa U-20 World Cup qualifier in Nairobi. Coach Ayub Khalifa’s charges started scoring from the go until deep into stoppage time of the first half to break off with a 6-0 lead. Juliet...
  2. Yaani tu....Kenya export earnings from Uganda up 57pc on tax deal

    Kenya’s earnings from exports to Uganda jumped more than half after last April’s deal which cleared tax hurdles for goods such as pharmaceuticals, confectionery, juice and spirits. Trade data collated by the Kenya National Bureau of Statistics show value of exports between April and July...
  3. C

    Netflix kupatikana bila malipo nchini Kenya

    Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20 inchini Kenya. - So Far walichotufahamisha ni kuwa, Huduma hii itakuwa kwa wenye umri juu ya miaka 18...
  4. Mauzo ya magari yanayotengenezwa Kenya yavunja rekodi

    Yaani hadi raha....hii nchi tunapaa The share of new vehicles assembled locally rose to a record 70.9 percent in the eight months ended August, signalling increased demand for models put together at plants such as Isuzu East Africa and Kenya Vehicle Manufacturers (KVM). Data from the Kenya...
  5. Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  6. Wakulima wa chai huko India wanalia kwamba chai kutoka Kenya ina bei ndogo kwa hivyo inawafanya kukosa biashara

    Hehehe. Nyang'au sisi hatutambui chochote linapokuja swala la biashara. Tunafinya mpaka Wahindi wa huko India. Wakulima wao wanalia kwamba chai kutoka Kenya inauzwa bei ya chini na kuwaharibia biashara. Wanataka serikali yao iingilie kati. Hehehe waendelee kulia tu, sisi tutaendelea kuwafinya...
  7. Kenya kuanza kutengeneza chanjo ya Corona virus 2022

    Mwaka 2022 Kenya itaanza kutengeneza chanjo ya COVID-19 ndani ya nchi kwa kushirikiana na kampuni za dawa katika hatua ya kurahisisha usambazaji wa chanjo kwa watu wengi. Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alitoa muongozo wa utengenezaji wa chanjo ya ndani, kwamba Kenya imeanza mchakato wa kujenga...
  8. Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

    Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
  9. F

    BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

    BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC. Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
  10. Ifahamu historia ya uchumi wa Kenya kulingana na video ya kitaalam ya uchumi

    Sio nchi nyingi za kiafrika ambazo uchumi wao unafanyiwa research na hata kuandaliwa video na wataalam wa uchumi mabeberu.
  11. Ombaomba wenye magari

    Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia. 'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
  12. Video ya mzee inayotrend amebeba mfuko na amevaa kanzu amepotelea hewani kwenye kontena Kenya ni ya kweli?

    Kuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
  13. 10 Largest Dams In Africa

    Tanzania and Ethiopia, the only one’s representing East Africa.
  14. Zambia yakamata malori 200 ya Watanzania, nawaza hapa ingekua Kenya hakungekalika kwa kilio humu

    Jameni Wazambia ni balaa, malori yote 200 wamekamata na hawajali liwalo na liwe..... The government said yesterday that it was not aware of reports that over 200 trucks owned by Tanzanian operators had been seized in Zambia linked to illegal logging claims. “We haven’t received any...
  15. Uchumi wa Kenya umewacha kuwa wa kishambashamba, sasa unaendelea kuwa more developed

    Fact moja katika somo la uchumi ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi, sector ya ukulima huwa ni asilimia ndogo sana ya uchumi wao. Nchi nyingi za magharibi, sector ya agriculture ni takriban asilimia tano tu yaani 5%. Huku Afrika unakuta nchi zetu ni mbovu na hovyo kabisa maana unakuta kuna...
  16. Kenya removed from piracy red list

    The global shipping industry has removed Kenya maritime waters within the Indian Ocean from the piracy red list, 12 years after it was designated a high-risk area (HRA). The move will save Kenya and East Africa millions of shillings in insurance and other security expenses, and could open up...
  17. Rais Kenyatta atangaza ukame kuwa janga la kitaifa nchini Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta leo, Jumatano, tarehe 8 Septemba 2021, ametangaza ukame unaoathiri sehemu za nchi kuwa janga la kitaifa. Kwa hivyo, Rais ameagiza Hazina ya Kitaifa na Wizara ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa kuongoza juhudi za Serikali kusaidia kaya zilizoathiriwa ikiwa ni...
  18. GDP figures za Kenya zinakuwa released leo

    Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly. Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
  19. TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti...
  20. When will Dodoma respond/take stern actions to foreign reporters especially those based in Kenya

    © Reuters/Monicah Mwangi FILE PHOTO: Tanzanian President Samia Suluhu Hassan arrives to address a joint Parliament session of Kenyan Members of Parliament and Senators in Nairobi NAIROBI (Reuters) - Tanzania suspended on Sunday another newspaper accused of false stories even though President...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…