kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  2. JamiiForums Tanzania Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

    Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania. Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani. Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa. Hapo ndio najiuliza kama speech writers...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Wakuu habari za majukumu Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe Asante
  4. JamiiForums Tanzania DODOMA: Hotuba Ya Dkt. William Samoei Ruto, Rais Wa Jamhuri Ya Kenya, Mei 5, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU
  5. O

    JamiiForums Tanzania Fikiria, Rais wa Kenya anaongelea uwekezaji katika nchi yetu, Rais wa Tanzania anamhamasisha waue vijana

  6. JamiiForums Tanzania Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju

    Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen-Z wa Kenya wanasema hawampendi Rais kwa sababu hilo sio jukumu lao Kikatiba

    Gen-Z wa Kenya wanasema hawampendi Rais kwa sababu hilo sio jukumu lao Kikatiba. Mwenye jukumu la kumpenda Rais ni mke wake. Soma Pia: Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni Walipoulizwa kwanini hawamuheshimu Rais, wakasema heshima inaanzia kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kundi la makampuni la AMSONS la Tanzania kujenga hospitali 10 nchini Kenya kwa dola milioni 40 za Marekani

    May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Kenya alikuwa sawa kwa sababu "HAKUPENDELEA"HIyo inatosha kuliko hawa wetu Wanaopendelea

    Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai. Simba huwa wamezubaa na kuziacha kelele hizi ambazo zinaweza kusababisha kughairishwa kwa utaratibu wa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato ya Kenya inadai KSh18 milioni kama kodi kutoka kwa Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon

    Kutoka kwenye KSh48 milioni alizoshinda Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon, Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA) inadaiwa kutaka hadi KSh18 milioni kama kodi.
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A Spike In Violent Crimes In Kenya

    As of early 2026, Kenya is experiencing a concerning surge in homicide cases and violent crime, with preliminary reports for 2026 already showing an upward trend compared to 2025. Media reports highlight a surge in killings across the country, prompting urgent public concern. A total of 398...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Football Kenya Federation Yatikiswa! FIFA Wafuatilia Sakata ya Kusimamishwa kwa Hussein Mohammed

    Sakata ndani ya soka la Kenya imechukua turn kali baada ya Rais wa FKF, Hussein Mohammed, kusimamishwa kazi kufuatia allegations za financial misconduct zinazohusiana na CHAN 2025. Hii issue sasa imevuka mipaka baada ya FIFA kuingia kati kufuatilia kama due process ilifuatwa. Kwa mujibu wa...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Court of Appeal Rules Abortion Illegal in Kenya, Reigniting National Debate After Landmark Reversal

    Kenya’s abortion debate has been thrown back into the national spotlight after the Court of Appeal of Kenya overturned a 2022 High Court decision that had recognized abortion as a constitutional right in certain circumstances. In a ruling delivered on April 24, a three-judge bench held that...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Style Meets Banking: How Kenyan Banks Are Turning Rings, Watches & Wristbands Into Wallets

    Kenya’s banking industry is entering a new era where fashion accessories are becoming payment tools. From rings and wristbands to smart wearables, lenders are increasingly blending lifestyle and financial technology to attract younger, tech-savvy customers while accelerating the shift toward a...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuingia deal ya mafuta na Uganda Game changer ama risk kwa uchumi?

    Kenya imechukua hatua kubwa baada ya William Ruto kutangaza kuwa nchi itawekeza kwenye refinery ya mafuta ya Uganda yenye thamani ya zaidi ya Ksh.500 billion. Hii si deal ndogo ni move inayoweza kubadilisha mwelekeo wa energy sector Afrika Mashariki. Akiongea katika Africa We Build Summit 2026...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Eti Kenya wana Nyambizi 150 wakati Tanzania kuna nyambizi 0?

    Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi? Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Commander Kenya Air Force Major General Bernard Waliaula Inducted Into International Honor Roll

    Major General Bernard Waliaula, Commander of the Kenya Air Force, has been inducted into the International Honour Roll at Air University in Montgomery, one of the United States Air Force’s most prestigious recognitions for distinguished international graduates. The International Honor Roll...
  20. M

    JamiiForums Tanzania MWIJAKU LAWANI NCHINI KENYA

    https://youtube.com/shorts/mtMrVj0S8O0?si=ytV4I13fhDCwaHYq
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…