kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. F

    JamiiForums Tanzania NEC igeni Mfano wa IEBC ya Kenya

    Tarehe 09.08.2022 taifa la Kenya lilifanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi mbalimbali wa taifa hilo. Upigaji kura ulifanyika vizuri kwa amani kwa mujibu wa waangalizi wa Kimataifa, kwa muktadha huo naipongeza IEBC yenyewe, serikali na police wa Kenya kwa kutekeleza majukumu yao vizuri. Jambo...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Juliana Cherera, the Delillah of Kenya

    Kenyans have witnessed and the whole world has seen the four IEBC commissioners walking out of IEBC auditorium few minutes before the final announcement of presidential results. Then Juliana briefed the press that herself and 3 other commissioners are disowning the final declaration of...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kuchafua uchaguzi wa Kenya kwa kisingizio cha ukabila ni kujilisha upepo

    Nianze kwa kuwapongeza ndugu zetu wakenya kwa kumpata Rais aliyetokana na uchaguzi ulio huru, haki na uwazi ambao pengine siyo somo kwa waafrika tu bali pia hata katika baadhi ya mataifa ya mabara mengine. Humu wamejitokeza wanaJF ambao wamejipa kazi ya kuchafua jitihada nzuri Sana zilizo...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kitakachotokea baada ya Rais Mteule wa Kenya kutangazwa leo

    1. Mwenyekiti wa Tume wa Huru ya Uchaguzi, IEBC anatakiwa kumkabidhi Rais Mteule Cheti (Mshindi wa Urais lazima ajitokeze kupokea Cheti) 2. Mwenyekiti lazima awasilishe kwa maandishi taarifa ya Matokeo kwa Jaji Mkuu na Rais aliyepo Madarakani, (Uhuru Kenyatta) 3. Kama itatokea Pingamizi la...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wagombea Urais Kenya waanza kuwasili ukumbi wa kutangaza Matokeo

    MATOKEO KENYA: MSAFARA WA NAIBU RAIS RUTO NA MKEWE KUELEKEA BOMAS MUDA HUU Naibu Rais William Ruto na mkewe Rachael Ruto wameondoka nyumbani kwao Karen kuelekea eneo la Bomas ambapo Tume ya Uchaguzi, IEBC itatangazia Matokeo ya Urais. Taarifa ya Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mshindi wa Urais Kenya kutangazwa saa 9:00 mchana

    Stay tuned
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Mteule wa Kenya kuapishwa Agosti 30

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Iwapo mshindi atatangazwa leo, na asipate zuio la kupinga ushindi wake, Rais Mteule ataapishwa Agosti 30 ambayo ni siku 14 baada kutangazwa kwa Matokeo ya Urais Kifungu cha 141 cha Katiba ya Kenya kuhusu Rais kuchukua Madaraka kinasema: (1) Kuapishwa kwa Rais...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Maridhiano yataka atakayeshindwa Urais Kenya kukubali matokeo

    Tume ya Taifa Maridhiano, NCIC imetoa wito kwa Mgombea yeyote wa kiti cha Urais atakayeshindwa baaada ya Matokeo kutangazwa, kukubali na kawasiliana na Mshindi ili kupata amani Mwenyekiti wa NCIC, Samuel Kobia amesema leo kuwa Uchaguzi ulikuwa wa amani, na kuongeza kuwa Wagombea wote wawili...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Lissu yupo kimya dhuluma Uchaguzi Kenya

    Nilitegemea Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hizi hapa sababu za kuchelewa matokeo ya Urais Kenya

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua Tume imesema kwasasa inafanyia kazi masuala yafuatayo:- 1. Uthibitishaji wa picha ya Matokeo ya Fomu 34A dhidi ya Fomu 34B 2...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku ya Unga

    Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku...
  17. JamiiForums Tanzania Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti

    Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya. Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

    Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Utumishi Kenya atoa hotuba ya matayarisho ya kukaribisha awamu mpya ya uongozi

    Afisi ya Rais Harambee House Nairobi, Kenya Mkuu wa Utumishi wa Umma, kufuatia uchaguzi mkuu anatoa mwongozo unaoainishwa kikatiba jinsi mambo ya kukabidhiana ofisi ya Urais mara IEBC itapotangaza mshindi wa kiti cha Urais. Ulinzi kwa Rais Mpya, shughuli ya Uapishwaji Rais na jinsi kamati...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…