kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mzozo wa DRC: Matumaini mapya baada ya mazungumzo ya Amani ya DR Congo kuanza nchini Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto (aliyekaa kushoto), Evariste Ndayishimiye wa Burundi (katikati) na rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta (kulia), pamoja na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa katika mziwa makuu Huang Xia (wa 3 kutoka kulia kwa waliosimama) Nairobi Kenya Nov 29, 2022 Rais wa Rwanda Paul...
  2. Huku KDF ikisafisha DRC, mabenki ya Kenya yaendelea kuingia DRC

    Amani muhimu sana DRC.... ======== NCBA Group is set to launch its mobile phone banking services M-Shwari in Ghana, Ethiopia and the Democratic Republic of Congo (DRC) through partnerships in efforts to grow further into a regional bank. The Kenyan lender, which also operates in Tanzania...
  3. Kama kuna Mtanzania mwenye Condoms asizozitumia au za akiba anipe niziwahishe Kenya zilikoadimika wasije 'Kuuana' kwa AIDS

    Taifa la Kenya kwa sasa linapitia Kipindi kigumu hasa kutokana na Kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mipira ya Kiume ( Condoms ) hali inayofanya Wakenya wafikirie mara mbili mbili linapokuja Suala la 'Kubanduana' huku wengine wakimalizia tu Haja ( Nyege ) zao kwa Kupiga Nyeto ( Punyeto ) kwa kwenda...
  4. FIFA yaiondoa rasmi Kenya kifungoni

    Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF). Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na...
  5. S

    Elon Musk Skips Kenya, to Offer Internet Satellite to Tanzania Through Starlink

    Starlink provides internet access to over 40 countries globally, with Tanzania set to become the third country in Africa after Nigeria and Mozambique. The Citizen reported that the service will be available in the East African country from the first quarter of 2023 and will be expected to boost...
  6. Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

    Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa. Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi. Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa...
  7. Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  8. Msitegemee wale wa 'Bwege Nation' kufanya kama wanavyotakiwa kufanya wa Kenya

    "Polisi msiwe na Upande wa Siasa..Tunataka Polisi iwe huru na isibague watu kadri ya Mitizamo yao ya Siasa. Tunataka Polisi iwalinde ndugu zetu wa Upinzani sawa na Inavyowalinda walio Serikalini sababu sisi ni wamoja na wote tunalipa kodi” Rais wa Kenya William Ruto Chanzo: Mitandao ya Kenya...
  9. Ya Kenya kujirudia Tanzania Team Hustlers(Bashiru) vs team mabwenyenye

    Kiutani utani tu popularity ya Bashiru imeongezeka ghafla Sana yeye ni Team Hustlers anawapigania wanyonge wacha nao wanaowapigania mabwenyenye tuwaone wanaendeleaje
  10. Kabla ya 'Bwege Nation' nanyi kuwapeleka Wenu Congo DR, waulizeni wa Kenya kinawakuta nini huko sasa kwa M23

    Wanajeshi wa Kenya waliosakiziwa na Rais wao Mgeni Madarakani kuwa waende Kuungana na Jeshi Bovu na Goi Goi la Congo DR ili Wapambane na Waasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23 sasa Wanajuta kwanini walikurupuka kwenda huko kutokana na Kipigo Kitakatifu wanachokipata. Nichukue Fursa hii...
  11. Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  12. Ethiopia yaanza kuuza umeme kwa Kenya

    Ethiopia imeeleza kuwa inatarajiwa kuingiza Dola Milioni 100 (Tsh. Bilioni 232) kwa mwaka kutokana na biashara hiyo, tamko lililotolewa wiki moja baada ya kusaini mkataba huo wa kuuza umeme kwa muda wa miaka 25 ijayo. Mkataba huo utaifanya Ethiopia kuuza Megawatts 600 kwa Kenya kutoka katika...
  13. Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  14. Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  15. Kenya: Ruto aikataa hoja ya kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani, asema ni ubinafsi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...
  16. Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  17. Video: Ukame waleta balaa Kenya na Somalia, mifugo inapukutika

    Hii vedio inajieleza. Tutunze mazingira. Selikali simamieni hili.
  18. DRC: Wanajeshi wa Kenya wamewasili DRC huku waasi wakikaribia Goma

    Wanajeshi wa Kenya wamewasili Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya kupambana na makundi ya waasi ambayo yamesababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo kwa miongo kadhaa. Wanajeshi 903 wa Kenya wameingia DRC chini ya makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  19. Baada ya Kenya kupeleka askari wake DRC chini ya mwavuli wa EAC. Je, Rwanda na Uganda watapeleka askari wao?

    Habari wakuu? Natumaini wengi wetu tumeona taarifa juu ya serikali ya Kenya kupeleka askari wake kwaajili ya kupambana na waasi wa M23 pamoja na vikundi vingine pale mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambapo askari hao wamepelekwa kama askari wa jumuiya ya Afrika mashariki ukiachana...
  20. Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

    Hapo vip!! Hapo vip!! Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka. Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria...niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…