kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinaisibu Shilingi ya Kenya?

    Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22 Ni hujuma kwa Ruto Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Binti wa jirani yetu aliwahi kuchukuliwa kwenda kusomeshwa kumbe anapelekwa kwenye mafunzo ya Ugaidi Al Shabab Kenya

    Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee. Kiufupi ilikuwa hivi. Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says

    Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says Kenya's Treasury says the country is facing serious cash flow challenges due to the maturing debts that have delayed the disbursement of funds to various development projects. Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u told the Finance and...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya, Uganda zaanza kusuka mikakati AFCON 2027

    Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yakiri kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 214.2 kutokana na Bei kubwa za Mafuta

    Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto. Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hizi hatua za kenya kuhusu bandari tuzitizame kwa umakini

    Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
  9. JamiiForums Tanzania George Soros kafunga Ofisi Kenya, chanzo cha mgogoro chadema & Co.!

    George Soros yule mzee wa Kiyahudi ambaye ndiye mmiliki wa open society amefunga na kuondoa funding kwenye Open Society jambo lililopeleka ofisi nyingi ikiwemo ya Nairobi kufungwa, kwa wasiomfahamu George Soros ndiye mdhamini wa mapinduzi Duniani kote kuanzia color revolution North Afrika mpaka...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia inaidai Kenya zaidi ya Tsh. Trilioni 24.96

    Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia limepanda hadi kufikia Ksh1.5 trilioni [TZS trilioni 24.96] mwezi wa Juni kutokana na ongezeko la mikopo na kushuka kwa thamani ya shilingi ya Kenya. Takwimu kutoka Benki Kuu ya Kenya inaonesha kuwa deni hilo lilikuwa Ksh1.57 trilioni (TZS trilioni 26.1]...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ipo katika Hatua ya mwisho wa kuukubali ushoga

    Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki. Nchi hiyo Pia imekuwa ikisitasita kutangaza rasmi kuutambua ushoga Kama haki baada ya harakati nyingi kushika Kasi Hadi ngazi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe sarafu ya Kenya kanyabwoya!

    Ushuhuda wa gavana wa banki ya Kenya, Kamau Thugge ni kwamba wenzetu wakenya wamekuwa wakituibia kwa kukadiria fedha yao kitapeli na kuonekana na fedha ngumu kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wakati ni bomu! Soma ifuatayo tafadhali uone ukweli mchungu. --- Shilling overvalued for long, CBK...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 nchi bora kwa uwekezaji barani Afrika

    Na Mwl Udadis, Tarime Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki afunga ndoa baada ya kujitenga

    Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married. In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of...
  15. JamiiForums Tanzania Mjane wa mwanahabari wa Pakistan anaishtaki Serikali ya Kenya kwa mauaji ya mumewe

    Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe. Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya kimakosa ya Arshad Sharif. Mwanahabari huyo alipigwa risasi na kuuawa mwaka mmoja uliopita na maafisa wa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Media zetu igeni mfano wa media za Kenya

    Habari wana JF! Nimekua nikifuatilia media za Kenya expecially TV stations Citizen TV nikajifunza kua media za Kenya zina uzalendo mkubwa sana. Mfano kama kuna issue ya kitaifa hua wanafanya a national conversation, wanapeleka watangazaji kila pande ya nchi yao halafu watu wanatoa michango yao...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watanzania watajwa kwenye orodha ya Magaidi 35 wanaotafutwa na Serikali

    Wizara ya Mambo ya Nje imetoa orodha ya Washukiwa 35 wa Ugaidi wakiwemo raia wa Tanzania, Somalia, Ujerumani, Uingereza, Bangladesh na Wakenya ambao wanatafutwa na Serikali kutokana na kuhusishwa na mashambulio ya Kigaidi yaliyotokea katika Kaunti ya Lamu. Washukiwa hao wanahusishwa na utegaji...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini reli ya SGR ya Kenya imekuwa mradi uliosifiwa sana katika ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja?

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja utafanyika Beijing. Ikiwa moja ya nchi 52 za Afrika ambazo zimesaini kumbukumbu ya maelewano ya ushirikiano katika ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, Kenya imetajwa na watu wengi kuwa mojawapo ya nchi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO

    Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO, hatua hii ikipuuzia kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini humo. Katika uamuzi wake Mahakama ya Mazingira Kenya inasema waliowasilisha kesi hiyo walishindwa kutoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…