Cecilia wanjiku, Binti mwenye umri wa miaka 16, mwanafunzi wa kidato cha tatu.
Baada ya Ajali ya moto kuanza Bwenini, wanafunzi wengine walikimbilia nje, ccecilia aligundua sauti ya wenzake wakiomba msaada, ndipo alipo Rudi, na blanketi alio iloweka kwenye maji, nakujifunika huku akiwakinga...